Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Nasubiri tamko....makonda ana mikono michafu damu za watu zinamlilia...
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Mnanikumbusha MAKIRIKIRI wa mchungaji na yule aliye tuonyesha pyupyuu hadharani
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Mpaka useme bado haujasema, na Sabaya is loading , vichuki vyenu na husuda juu ya viongozi majasiri na wapenda haki zimefika mwisho.
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Kama hao US wana ushahid wa kutosha dhidi ya Makonda,wauletee vyombo vyetu vya sheria viufanyie kazi,na siyo kusema maneno matupu bila facts!!
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
IMG-20231022-WA0190.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu ya mtu huwa haipotei bure....karma is a bitch
jibu kakuuwa? kamuuwa nani? kamwaga damu ya nani? ukiendekeza haya mambo ya kusikia hauwezi kudumu na mke au mume miaka mitano. Ushauri tu
 
Wakisitisha uhusiano itakuwa safi sana. Watatupa nafasi ya wazi kabisa kujiunga BRICS bila kupigiwa kelele za kijingajinga.
Kwa umaskini huu wa Tanzania, BRICS itakupa nini wakati wewe ni mtembeza bakuli? Uliwahi kuona ombaomba anatoka Dar, anahamishia kituo chake Mwandiga?
 
Alikuuwa wewe ? Kuna ndg Yako kauwawa? Kuna Rafiki yako kauwawa?
Damu za watu zitaendelea kumshtakia muuja Makonda maisha yake yote.

Pumzika kwa amani Ben Sanane. Muuaji wako japo amepewa cheo na CCM, lakini hukumu yake hataikwepa, yeye na wenzi wake katika uovu. Laana juu yake na kizazi chake itembee naye daima.
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Kuna hii kanuni ya KUFIKIRIA NDIO UAMUE , Na kuna hii attitude ya KUJIKWAMUA UKISHAINGIA KATIKA JANGA!
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Marekani ukiingilia maslahi yao ndipo utakapojua kuwa hujui !!
Lakini hayo mengine kwao huwa ni porojo za kisiasa tu !
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Ameshasamehewa coz aliekua anafanya kazi chini yake hayupo na maslahi ya hao jamaa yanalindwa,hivyo imekwisha tunaanza upya
 
Tangu Mike Pompeo aacchie nafasi ya State Secretary, hiyo ban ya makonda nayo ikawa dull
 
Back
Top Bottom