Vyama vinaridhiana nini? Mmoja ameshinda kwa asilimia 98% wengine walikubali kushindwa na walihudhuria kwenye uapisho, mwingine hata uchaguzi wenyewe hakuutaka na hakushiriki lakini wananchi waliuliwa

Kwani kuna maridhiano ya Lissu labda kama wanataka kuyajenga kuhusu zile risasi 16 za mwaka 2017 lakini kuhusu ya October 29 aje kwa wananchi atueleze imekuaje kuaje kutuulia ndugu zetu ambao hawakuwa hata na fimbo