Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha.

Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa na ndege itakayowafikisha Dar es Salaam haraka ili kujiandaa na mechi ya marudiano.

Klabu ya Simba ilitoa waraka na hotuba za kumsifia Rais kwa kutoa ndege ya kuisafirisha timu. Swali linakuja, Simba ilipewa ndege bure au imepewa punguzo la gharama za kusafiri na ndege ya ATCL? Hili swali nililiuliza hata katika safari ya kwenda South Africa kucheza na Stellenbosch. Hawa watu waliojitokeza na kutoa hizo sifa, warudi watuweke wazi ili kupunguza hizi sintofahamu.

Kama Simba imepewa ndege ya bure kabisa huku serikali ikilipia mafuta, parking, na gharama zingine zote zinazohusiana na kurusha na kutua ndege, basi uongozi wa Simba usingeweka kabisa gharama za tiketi kwa mashabiki hata kama ni kwa punguzo, na badala yake ingewachangisha tu gharama zingine za lazima kama tiketi za uwanjani, malazi, viza, nk.

Mimi siku zote nimekuwa siyo mpenzi wa hii misaada ya serikali kwa vilabu hasa inapokuja hatua hizi za mwisho maana mara nyingi inaleta shida na vurugu kuliko faida zake kwa timu. Wewe angalia attention kubwa ambayo viongozi wa Simba inabidi waiweke sasa katika kuandaa hiyo safari ya mashabiki, hii nguvu walitakiwa waiweke zaidi katika kuandaa mazingira ya kupata matokeo ya uwanjani katika mechi mbili zilizobaki. Focus ya timu imevurugwa mno na hadi imepelekea mashabiki kugawanyika. Hii siyo nzuri katika hizi harakati za kusaka ubingwa. Kuna hadi mashabiki wanaotumia hii fursa kujitafutia umaarufu binafsi huku wakiichafua taswira ya klabu.

Kama Simba imepewa ndege ya kusafiria ikiwa imepewa masharti ya kulipia gharama mbalimbali mfano mafuta, parking, nk. inayowalazimu kutafuta vyanzo vya pesa ili kufidia pale panapopelea basi ilibidi wakati sifa zinatolewa wangeliweka hilo wazi. Hii ingepunguza malalamiko, fununu, tetesi na vinyongo.

Ukiniuliza mimi nitasema njia nzuri ya hii safari ilikuwa kupeleka timu mapema kwa kutumia ndege za kawaida, kupata siku 3-4 ndani ya Morocco kabla ya mechi halafu kukodi ndege binafsi ya kurudi baada tu ya mechi ili kuwahi kufanya maandalizi ya mechi ya marudiano. Kama serikali ilitaka kusaidia, ingesaidia katika utaratibu huo. Hii ingewapunguzia viongozi na timu stress kubwa ya kudili na mashabiki.

Ingekuwa mechi ya pili ni Morocco, kidogo huu mpango unaotumika sasa ungekuwa na faida.
 
Mama mashuuri aka adija kopa mr misifa pro max sio mda anawapa ndege kama kawaida yake
 
Umekimbilia kujibu kabla ya kusoma ndiyo maana majibu yako yamekaa kindezi na kiutopolo.
Ndege wamepewa timu malalamiko,chuki,nuksi,minong'ono kutoka kwa mashabiki na upuuzi unaofanana na huo unatoka wapi?

Anaetaka kuandamana na timu alipe gharama za safari kama inavyotakiwa kwa safari za kawaida....

Shida yenu kubwa hampendi kujifunza ilihali mfano hai upo
 
Mshalipiwa nyie kila kitu. Hizo hela mnazotozwa, ni wahuni tu wanataka kuzitafuna.
 
Utopolo wenye akili wawili tu hawawezi kukuelewa
Kwanza huu uzi hauwahusu wao sijui wanajipendekeza nini. Hawa watu walivyo na wivu na husda wakijipenyeza kwenye hiyo ndege wanaweza hata kuroga wachezaji.
 
SAYVILLE na ngara23 kuna siku inapita bila kuanzisha mada za simba na yanga?

Anyway
Habemus papam!
Habemus papam!!
Habemus papam!!!
 
Serikali ya hovyo ndiyo inaweza kulipia chakula, malazi na visa kwa washabiki. Nadhani wanaolalamika sio wanasimba bali hao ni wale HATUCHEZI. Kwa sasa hawana la kufanya bali kujichomeka kwenye mijadala ya Simba na kuleta uchonganishi. Bangladeshi!
 
K
Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha.

Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa na ndege itakayowafikisha Dar es Salaam haraka ili kujiandaa na mechi ya marudiano.

Klabu ya Simba ilitoa waraka na hotuba za kumsifia Rais kwa kutoa ndege ya kuisafirisha timu. Swali linakuja, Simba ilipewa ndege bure au imepewa punguzo la gharama za kusafiri na ndege ya ATCL? Hili swali nililiuliza hata katika safari ya kwenda South Africa kucheza na Stellenbosch. Hawa watu waliojitokeza na kutoa hizo sifa, warudi watuweke wazi ili kupunguza hizi sintofahamu.

Kama Simba imepewa ndege ya bure kabisa huku serikali ikilipia mafuta, parking, na gharama zingine zote zinazohusiana na kurusha na kutua ndege, basi uongozi wa Simba usingeweka kabisa gharama za tiketi kwa mashabiki hata kama ni kwa punguzo, na badala yake ingewachangisha tu gharama zingine za lazima kama tiketi za uwanjani, malazi, viza, nk.

Mimi siku zote nimekuwa siyo mpenzi wa hii misaada ya serikali kwa vilabu hasa inapokuja hatua hizi za mwisho maana mara nyingi inaleta shida na vurugu kuliko faida zake kwa timu. Wewe angalia attention kubwa ambayo viongozi wa Simba inabidi waiweke sasa katika kuandaa hiyo safari ya mashabiki, hii nguvu walitakiwa waiweke zaidi katika kuandaa mazingira ya kupata matokeo ya uwanjani katika mechi mbili zilizobaki. Focus ya timu imevurugwa mno na hadi imepelekea mashabiki kugawanyika. Hii siyo nzuri katika hizi harakati za kusaka ubingwa. Kuna hadi mashabiki wanaotumia hii fursa kujitafutia umaarufu binafsi huku wakiichafua taswira ya klabu.

Kama Simba imepewa ndege ya kusafiria ikiwa imepewa masharti ya kulipia gharama mbalimbali mfano mafuta, parking, nk. inayowalazimu kutafuta vyanzo vya pesa ili kufidia pale panapopelea basi ilibidi wakati sifa zinatolewa wangeliweka hilo wazi. Hii ingepunguza malalamiko, fununu, tetesi na vinyongo.

Ukiniuliza mimi nitasema njia nzuri ya hii safari ilikuwa kupeleka timu mapema kwa kutumia ndege za kawaida, kupata siku 3-4 ndani ya Morocco kabla ya mechi halafu kukodi ndege binafsi ya kurudi baada tu ya mechi ili kuwahi kufanya maandalizi ya mechi ya marudiano. Kama serikali ilitaka kusaidia, ingesaidia katika utaratibu huo. Hii ingewapunguzia viongozi na timu stress kubwa ya kudili na mashabiki.

Ingekuwa mechi ya pili ni Morocco, kidogo huu mpango unaotumika sasa ungekuwa na faida.
hata $1000 huna?
 
Back
Top Bottom