Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Yanga inakwenda CAFCC kwahivyo mambo mengine yasiendelee? Hili suala hata Manara alisikika akiongea sijui kwanini anawashika masikio..!Makombora yake atawapelekea wengine wenye uhitaji nao. Naona tunaelekea kwenye mechi ya marudiano ya kombe CAFCC hivyo kama kawaida ishu za Feisal zimeibuka
Yanga ni taasisi kubwa sana mkuu! Fei huyo ni mtu mdogo sana ataondoka yanga itabaki paleKufuatia Mchezaji Faisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo ya na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Klabu ya Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Salum, nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Ameongea zaidi ya mara nneMpaka Sasa nasikiliza interview sikumsikia akiongea huo upupu unaouongea wewe [emoji41]
Feisal aende tuKufuatia Mchezaji Faisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo ya na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Klabu ya Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Salum, nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Aliyeanza kuongea ni engineer ni katika sheria za uandishi wa habari kama kuna tofauti katika pande mbili lazima usikilize pande zote ndio walichofanya clouds wameanza na engineer wakamaliza na feisal ni work ethics katika uandishi wa habari.Makombora yake atawapelekea wengine wenye uhitaji nao. Naona tunaelekea kwenye mechi ya marudiano ya kombe CAFCC hivyo kama kawaida ishu za Feisal zimeibuka
Yaani unalinganisha Feisal na Rais?Mpina atalinganishwa na Samia?Kufuatia Mchezaji Faisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Klabu ya Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Salum, nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Aondoke dogoKufuatia Mchezaji Faisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Klabu ya Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Salum, nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
Amefikia kusema kuwa ikitokea asicheze mpira basi yupo tayari, lakini si kurudi Yanga.Kama Yanga mpaka sasa inasema inaendelea vizuri bila Feisal na Ina pata mafanikio bila huyo mchezaji. Kwanini isimuache huyo mchezaji aende kama alivyoomba?. Istoshe hajawadai chochote Bali amelipa kiasi walichomgaia hapo awali na kupatana. Asa Yanga haitapata hasara yoyote kwa maana mpaka sasa licha ya kutokuwepo huyo mchezaji uwanjani Bado Yanga Iko mbele kimaendeleo. Wanamng'ang'ania wa Nini?. Kwanini engineer asikubali tu kuvunja huo mkataba ili kuepusha Shari ikiwa mtu mwenyewe Hana faida kwao wala kwenye timu?. Je, ni nani hapo anang'ang'ania mwenzie, kati ya club na mchezaji!!!!???.
Duuh Aisee..!Waulize hawa walikuwa wanamfundisha
View attachment 2642331
Kwa kweli ni hatari. Mambo mengine ni kuchukua maamuzi ya busara tu kuliko kupoteza muda katika kubishana.Amefikia kusema kuwa ikitokea asicheze mpira basi yupo tayari, lakini si kurudi Yanga.