The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Yani mleta mada kaandika kama vile wote tunamjua huyo Feisal.Feisal ndio nani kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mleta mada kaandika kama vile wote tunamjua huyo Feisal.Feisal ndio nani kwanza?
Mpira ni biashara huwezi ondoka bure bure kama unaenda sokoniSwali la kipuuzi. Kwani fei si ndo anadai kiondoka mwenyewe. Wanamng'ang'ania wa nn?
Kwahiyo kwa kauli yako hii ndio itanifanya nimjue huyo Feisal?Wewe Mungu Anakuona Ujue, wewe leo hii humjui Feisal..!?
Unajua lolote kuhusu Pacta sunda servanda?Kama Yanga mpaka sasa inasema inaendelea vizuri bila Feisal na Ina pata mafanikio bila huyo mchezaji. Kwanini isimuache huyo mchezaji aende kama alivyoomba?. Istoshe hajawadai chochote Bali amelipa kiasi walichomgaia hapo awali na kupatana. Asa Yanga haitapata hasara yoyote kwa maana mpaka sasa licha ya kutokuwepo huyo mchezaji uwanjani Bado Yanga Iko mbele kimaendeleo. Wanamng'ang'ania wa Nini?. Kwanini engineer asikubali tu kuvunja huo mkataba ili kuepusha Shari ikiwa mtu mwenyewe Hana faida kwao wala kwenye timu?. Je, ni nani hapo anang'ang'ania mwenzie, kati ya club na mchezaji!!!!???.
Kwani wewe hapa unamzungumzia Feisal yupi?Kwani ulipokuwa unachangia mada kuhusu Baba yake Messi na Mama yake Feisal, kwenye Uzi mwingine, alikuwa Feisal yupi? Au umeamua tuchoshane tu kwenye hili?
Sasa tatizo nn si mumuachee asepee.Hili swala Fei ni anatafuta namna ya kufanya ili anonekane ana haki ya kusepa
Ndo anachotakaa awapishee, ila nyie hamtaki sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aondoke asiye na umuhimu, je ni yupi asiye na umuhimu?
Timu imecheza michezo ya kombe la Azam federation cup pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imecheza kombe la shirikisho imetinga fainali pasipo huyo mtu kuwepo
Timu imebeba kombe la NBC pasipo huyo mtu kuwepo
Hivyo asiyekuwepo wakati timu inafanya vizuri na kupata mafanikio, huyo hana umuhimu atupishe tu.
Umenisaidiia kile ambacho huwa natakaga kuandika, Yanga kwann wanambania Fei kuondokaaaa??Kama Yanga mpaka sasa inasema inaendelea vizuri bila Feisal na Ina pata mafanikio bila huyo mchezaji. Kwanini isimuache huyo mchezaji aende kama alivyoomba?. Istoshe hajawadai chochote Bali amelipa kiasi walichomgaia hapo awali na kupatana. Asa Yanga haitapata hasara yoyote kwa maana mpaka sasa licha ya kutokuwepo huyo mchezaji uwanjani Bado Yanga Iko mbele kimaendeleo. Wanamng'ang'ania wa Nini?. Kwanini engineer asikubali tu kuvunja huo mkataba ili kuepusha Shari ikiwa mtu mwenyewe Hana faida kwao wala kwenye timu?. Je, ni nani hapo anang'ang'ania mwenzie, kati ya club na mchezaji!!!!???.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo Fei amekata mzizi wa fitina.Ni Ngumu Kumeza Hilo [emoji196][emoji16][emoji196][emoji16]
Bora hata wee umelionaa hilo, na hili linafanyika kwa wachezaji wazawa tyuuh.Hili sakata la Feisal linaweza kuwa lina tip vitu vinavyoogopesha kidogo. Kwanza kuna vitu Feisal hajafunguka na kilio cha wakili kinabeba ujumbe maana yule si wakili mwepesi.
Lakini naanza kupata picha hata dogo aliyebadili dini kwa umri wake inawezekana kuna influence ambayo siku moja tunaweza kuja kuifahamu.
Pamoja na mdhamini kuibadili Yanga na kuleta mabadiliko makubwa ila inawezekana kuna ideology behind the scenes ambazo huku nje ni ngumu kuzijua na Feisal amekataa kuzifata.
Ni roho mbaya za waswahili. Furaha kwao ni kumuona akitaabika.Kama Yanga mpaka sasa inasema inaendelea vizuri bila Feisal na Ina pata mafanikio bila huyo mchezaji. Kwanini isimuache huyo mchezaji aende kama alivyoomba?. Istoshe hajawadai chochote Bali amelipa kiasi walichomgaia hapo awali na kupatana. Asa Yanga haitapata hasara yoyote kwa maana mpaka sasa licha ya kutokuwepo huyo mchezaji uwanjani Bado Yanga Iko mbele kimaendeleo. Wanamng'ang'ania wa Nini?. Kwanini engineer asikubali tu kuvunja huo mkataba ili kuepusha Shari ikiwa mtu mwenyewe Hana faida kwao wala kwenye timu?. Je, ni nani hapo anang'ang'ania mwenzie, kati ya club na mchezaji!!!!???.
Wewe mambo ya uzi mwingine yanakuhusu nini? mimi nakuuliza wewe kwenye huu uzi wako,Jibu kwanza acha kuruka, umesema hujui Feisal, nikakuuliza yule ambaye ulikuwa unachangia mada kuhusu Baba yake Messi na Mama yake Feisal kwenye Uzi mwingine alikuwa Feisal yupi?