Je Mashabiki wa Yanga, kati ya Engineer Hersi na Feisal nani aondoke?

Makombora yake atawapelekea wengine wenye uhitaji nao. Naona tunaelekea kwenye mechi ya marudiano ya kombe CAFCC hivyo kama kawaida ishu za Feisal zimeibuka
Kama Yanga inakwenda CAFCC kwahivyo mambo mengine yasiendelee? Hili suala hata Manara alisikika akiongea sijui kwanini anawashika masikio..!
 
Swali la kipuuzi. Kwani fei si ndo anadai kiondoka mwenyewe. Wanamng'ang'ania wa nn?
 
Yanga ni taasisi kubwa sana mkuu! Fei huyo ni mtu mdogo sana ataondoka yanga itabaki pale
 
Feisal aende tu
 
Yanga ni taasisi kubwa sana mkuu! Fei huyo ni mtu mdogo sana ataondoka yanga itabaki pale
Ni kweli Mkuu, Engineer na Feisal wataondoka kama walivyoondoka wengine na Yanga ikabaki pale pale.
 
Makombora yake atawapelekea wengine wenye uhitaji nao. Naona tunaelekea kwenye mechi ya marudiano ya kombe CAFCC hivyo kama kawaida ishu za Feisal zimeibuka
Aliyeanza kuongea ni engineer ni katika sheria za uandishi wa habari kama kuna tofauti katika pande mbili lazima usikilize pande zote ndio walichofanya clouds wameanza na engineer wakamaliza na feisal ni work ethics katika uandishi wa habari.
 
Hawa Wapemba kila sehemu ni kutia huruma tu kuanzia serikalini hadi uku
 
Yaani unalinganisha Feisal na Rais?Mpina atalinganishwa na Samia?
 
Kama Yanga mpaka sasa inasema inaendelea vizuri bila Feisal na Ina pata mafanikio bila huyo mchezaji. Kwanini isimuache huyo mchezaji aende kama alivyoomba?. Istoshe hajawadai chochote Bali amelipa kiasi walichomgaia hapo awali na kupatana. Asa Yanga haitapata hasara yoyote kwa maana mpaka sasa licha ya kutokuwepo huyo mchezaji uwanjani Bado Yanga Iko mbele kimaendeleo. Wanamng'ang'ania wa Nini?. Kwanini engineer asikubali tu kuvunja huo mkataba ili kuepusha Shari ikiwa mtu mwenyewe Hana faida kwao wala kwenye timu?. Je, ni nani hapo anang'ang'ania mwenzie, kati ya club na mchezaji!!!!???.
 
Yaani unalinganisha Feisal na Rais?Mpina atalinganishwa na Samia?
Sijalinganisha hapo, hata hivyo mbona Ali Hassan Mwinyi alijiuzulu kwa sababu ya wafungwa tu. Kuna kuwajibika Mkuu.
 
Aondoke dogo
 
Waulize hawa walikuwa wanamfundisha
Your browser is not able to display this video.
 
Amefikia kusema kuwa ikitokea asicheze mpira basi yupo tayari, lakini si kurudi Yanga.
 
Amefikia kusema kuwa ikitokea asicheze mpira basi yupo tayari, lakini si kurudi Yanga.
Kwa kweli ni hatari. Mambo mengine ni kuchukua maamuzi ya busara tu kuliko kupoteza muda katika kubishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…