Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ha ha nilijua usingeweza kujibu maana ni itakuwa kujiumbua hapo na inakuwa ni Unafiki.Wewe mambo ya uzi mwingine yanakuhusu nini? mimi nakuuliza wewe kwenye huu uzi wako,
Wewe ndio unaruka ruka kama mtu aliyekanyaga kaa la moto.
Kwa Mtamazo wa jicho la Tatu inawezekana fei anaipenda yanga na alitaka kufanya kamgomo Kadogo aongezewe mshahara ambapo ni kawaida likaja kundi lilsilopenda maendeleo ya yanga likamtumia fei Kama njia ya kuleta mgogoro huku fei akijua Hilo kundi linamsaidia kudai maslahi kumbe linampoteza matokeo ndio haya ya sasa.
injinia aondoke chivaviro utamlipa wewe mshahara?Kufuatia Mchezaji wa Klabu ya Yanga Feisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi ataondoka kwa kuwa yeye hana matatizo na Klabu ya Yanga.
Swali kwa Mashabiki wa soka wa Klabu ya Yanga kati ya Engineer Hersi, na Feisal Salum, nani aondoke kwenye Klabu ya Yanga.?
😀😀😀Ukiwa na uhakika wa medals za Caf,NBC premier league,na ASFC..... huwezi kuwa na wasiwasi na comment yakoYani mleta mada kaandika kama vile wote tunamjua huyo Feisal.
Mshahara anasema yeye hana shida,wazenji ni kiburi sana,hata Makame wakati wa mfungo aliamua kuondoka kambini kisa huwa hachezi kipindi Cha mfungo..... nikwasababu Kagera ni timu ndogo ndiyo maana siyo story...... cases za wazenji ni nyingi sana wanacheza Bara.....ni Wapuuzi sanaKwa Mtamazo wa jicho la Tatu inawezekana fei anaipenda yanga na alitaka kufanya kamgomo Kadogo aongezewe mshahara ambapo ni kawaida likaja kundi lilsilopenda maendeleo ya yanga likamtumia fei Kama njia ya kuleta mgogoro huku fei akijua Hilo kundi linamsaidia kudai maslahi kumbe linampoteza matokeo ndio haya ya sasa.
Yanga anaenda Kwenye fainali ya kihistoria lakini muda wa kujadili mambo ya fei unakuwa sawa na muda wa kujadili mechi ya fainali .
Kwa kiasi malengo ya Hilo kundi yamefanikiwa angalau kwa 20%
Corporate works different as streets does.JAMAA HAITAKI YANGA. LAKINI YANGA INAMG'ANG'ANIA.
MPENZI HAKUTAKI ANAKUKATAA KATA KATA BADO UNALAZIMIAHA TU.
YANGA INA VIONGOZI WAJINGA SANA