Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Mke wake yuko sahihi na hawezi kuwa na amani ikiwa mumewe anajihusisha na wewe kwa karibu. Anawasi wasi na nyie kukulana tu which might be true huwenda mshatafunana college huko.

Urafiki wa karibu wa baina ya mwanaume na mwanamke ambao hauusishi kulana ni 1 out of 100. Jamaa aache upumbavu mpunguze mazoea
 
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni huyo kakosea ila na nyie mnapenda kupiga Mimi kwa kweli tutapigana na nitalipiza kisasi kwa kulala hata na kisu mtu anayenipiga na Kuni provoke siwezani naye kabisa
Asee mwanamke mwenye kisasi ni mbaya sana. We unaonesha hukubaligi kushindwa na unatabia ya “nimkomeshe”
 
Mimi mwenyewe ningerudisha wala nakuvizia na mimi lazima nikuweke alama Ili usinisahau
Hizo nguvu za kurudisha zinaonesha wewe ni kiburi kwa kiasi gani. Mwanamke mpaka akifikia kupigwa kofi wengi hu retreat na wanagunduaga wamevuka mipaka.

Anakausha au wengine huomba msamaha. Ila wewe umekosea na bado unataka kupambana huo ni upumbavu. Mi ukinijeruhi nikipona ujue pigo la pili unaenda futi 6” na wala sikuwazi! Unikate na kisu nijiuguze nipone? Asee lazma tupambe kurasa za magazeti..mi ni mpole ila ukinifyatua nakuwaga mdeadly!
 
Hii haifanyiki makusudi bali inatokea tu
Huyo hawajui wanawake ,hakuna anayependa kumpiga mwanamke Ila samtaimz wanawashwa miili yao.Unaongea neno moja yeye ameshaongea maneno Mia tena maneno mabovu matupu

Unajikuta huna namna😅😅
 
Wewe kupigwa ni kumkosea Mungu! Unaonesha unajielewa sana kwenye mahusiano na how to deal with a man!
Sio kwa misifa hyoo
Mkurya Alidhani ninayomfanyia namfanyia na mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Sio kwa misifa hyoo
Mkurya Alidhani ninayomfanyia namfanyia na mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Heee alikufuma na sms ama kitu gani sasa mpaka ikawa hivyo! Wivu huwa na chanzo sikuzote
 
Ulikuwa unamfanyeje hadi anakupiga?
Yeye mwenyewe anatafuta namba ngeni anakutumia mesej kwamba nimekumiss tukutane tena mahali flani halafu anakimbia haraka haraka kushika simu yako anaona hyo mesej anaanza kukupiga. Siku nikagundua maana kuna simu ya mtoto wa kakake anayesoma sasa simu walikuwa hawaruhusu huko shule akawa ameiacha pale. Si nkakutana na hyo mesej. Nkaliaaa hakuna mfano. Ule haukuwa wivu ulikuwa upoyoyo
 
Huyo jamaa ni ndezi huo wivu wa kishamba wa kutumiana na sms za ajabu😅 kwahio mshaachana au bado mnavumiliana tu?
 
80% ya wanawake huweka mazingira ya wao kupigwa. Hili nakubaliana nalo kwa asilimia 100%.

Chanzo kikubwa cha vipigo kwa wanawake ni kukosa staha hasa kwenye kauli na kupenda kutumia lugha kali na maneno ya karaha yasiovumilika mbele ya wanaume either intentionally au un-intentionally. Hii hupelekea asilimia 80 ya vipigo na hii hali inaepukika kama mwanamke atajitambua tu na kuacha ujinga.

Kingine ni mental disorder za wanaume ambao kuna watu wao hupenda ligi tu. Yani mtu ana anger disorders kwahio hana control na yeyote anaejaribu kumpinga au kufanya jambo kinyume nae basi wanaanza parling😅!

Mtu kama huyu ndio utakuta hata mwanamke akimpa remote na mkono wa shoto kamtia kibao. Akimpa maji kwenye kikombe badala ya glass kamtia kelebu. Anakuwa na wivu wa kijinga mke akisalimiwa na mfanyakazi mwenzie tu kipigo.
 
Nafikiria njaa inaweza kuwa mzizi wa tatizo
 
Huyo jamaa ni ndezi huo wivu wa kishamba wa kutumiana na sms za ajabu[emoji28] kwahio mshaachana au bado mnavumiliana tu?
Nilimuachia polisi maana aliendekeza vipigo vyake bila mpango. Ni mchumba hadi home alishajitambulisha ila bi mkubwa akasema huyu hakufai. Mwanaume wa kwanza huyu...
Niliumia wewe kwa zaidi ya miaka 4 nalia tu. Kuna kitu nilifanyiwa na wazazi kwa kupelekwa ulimwengu mwingine ndo kikanisaidia kumsahau.
 
Mwanamke hapigwi

Kumpiga mwanamke ni ulimbukeni+ushamba

Mkiona hamelewani piganeni chini

Ova
Utawapiga chini wangapi mkuu? Unafikiri ni rahisi kumpata mwanamke asiye na maudhi?
 
Dah noma kweli kweli yani😅 ila huko dunia nyingine maisha yanaendeleaje maana huku dunia ya tozo ni mvurugano kweri kweri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…