[emoji23][emoji23][emoji23] hivi kwanini unipige siunaweza kuniua bure sijapigwa kabisa Hadi nimekua mwanaume anipige tu na jinsi mumekomaa ka nini loh[emoji23][emoji23]Asee mwanamke mwenye kisasi ni mbaya sana. We unaonesha hukubaligi kushindwa na unatabia ya “nimkomeshe”
[emoji23][emoji23][emoji23] nakujeuri na ninachukua hamsini zangu za maisha, why unipige, huna hyo mamlaka Yani navizia nikupe alama Ili unisahau kabisaHizo nguvu za kurudisha zinaonesha wewe ni kiburi kwa kiasi gani. Mwanamke mpaka akifikia kupigwa kofi wengi hu retreat na wanagunduaga wamevuka mipaka.
Anakausha au wengine huomba msamaha. Ila wewe umekosea na bado unataka kupambana huo ni upumbavu. Mi ukinijeruhi nikipona ujue pigo la pili unaenda futi 6” na wala sikuwazi! Unikate na kisu nijiuguze nipone? Asee lazma tupambe kurasa za magazeti..mi ni mpole ila ukinifyatua nakuwaga mdeadly!
Kama ana afya njema uwezekano ni just short of zero.Afya njema
Kifo hutafuta sababu
Ukielewa hii kauli nliyokuambia
Utanielewa
Ova
Suuuuuuuu...uu×100Sema suuuu
Kupiga haina justification yoyote acheni kutetea uovu bwana, Yani unafanya uhalifu na kusingizia eti mwanamke kanisababishia huo si ujinga80% ya wanawake huweka mazingira ya wao kupigwa. Hili nakubaliana nalo kwa asilimia 100%.
Chanzo kikubwa cha vipigo kwa wanawake ni kukosa staha hasa kwenye kauli na kupenda kutumia lugha kali na maneno ya karaha yasiovumilika mbele ya wanaume either intentionally au un-intentionally. Hii hupelekea asilimia 80 ya vipigo na hii hali inaepukika kama mwanamke atajitambua tu na kuacha ujinga.
Kingine ni mental disorder za wanaume ambao kuna watu wao hupenda ligi tu. Yani mtu ana anger disorders kwahio hana control na yeyote anaejaribu kumpinga au kufanya jambo kinyume nae basi wanaanza parling[emoji28]!
Mtu kama huyu ndio utakuta hata mwanamke akimpa remote na mkono wa shoto kamtia kibao. Akimpa maji kwenye kikombe badala ya glass kamtia kelebu. Anakuwa na wivu wa kijinga mke akisalimiwa na mfanyakazi mwenzie tu kipigo.
Mtu anayekutesa na kukupiga kwenye mahusiano hukuharibu akili na unakuwa addicted hapo ndugu wasipo ku rescue kinguvu ndio mwisho mwanaume anakuja kukuua kabisa na usipo saidiwa kumsahau ni shida una Rudi kwa abuser maana alishakupa addiction kama ya madawa ya kulevya, Mimi kosa nisilo samehe mwanaume ni kipigo na Kuni abuse abuse aisee.Nilimuachia polisi maana aliendekeza vipigo vyake bila mpango. Ni mchumba hadi home alishajitambulisha ila bi mkubwa akasema huyu hakufai. Mwanaume wa kwanza huyu...
Niliumia wewe kwa zaidi ya miaka 4 nalia tu. Kuna kitu nilifanyiwa na wazazi kwa kupelekwa ulimwengu mwingine ndo kikanisaidia kumsahau.
Duuh huu ni ukauzu sasaMimi mwenyewe ningerudisha wala nakuvizia na mimi lazima nikuweke alama Ili usinisahau
Tupo wengi tu 🙄😏Utawapiga chini wangapi mkuu? Unafikiri ni rahisi kumpata mwanamke asiye na maudhi?
And she is approaching 40 now Sarah!yaani kama kuna mahala alifeli ni hapo!ndoto zake zote kwishaa kabisaIts possible ila tukumbuke Master J anatoka na huyu binti tangu akiwa 18yrs.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hii kibokoYeye mwenyewe anatafuta namba ngeni anakutumia mesej kwamba nimekumiss tukutane tena mahali flani halafu anakimbia haraka haraka kushika simu yako anaona hyo mesej anaanza kukupiga. Siku nikagundua maana kuna simu ya mtoto wa kakake anayesoma sasa simu walikuwa hawaruhusu huko shule akawa ameiacha pale. Si nkakutana na hyo mesej. Nkaliaaa hakuna mfano. Ule haukuwa wivu ulikuwa upoyoyo
Sarah kwao maisha bora nafikir ni first boyfriend wake!maana sijawahi skia ana mwanaume mwingine,sasa hajiamini na maamuzi!Huyo binti ni njaa au kitu gani kinamfanya avumilie kipigo? Master J ni upcoming R.Kelly [emoji28]
Hee first boyfriend mpaka uzeeni bila ndoa?Sarah kwao maisha bora nafikir ni first boyfriend wake!maana sijawahi skia ana mwanaume mwingine,sasa hajiamini na maamuzi!
She was bright girl enzi anasoma watu walidhani atakuja kua hata mkuu wa wilaya au mbunge ,alipoishia ni hapo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hyo Kali aseehh!ila wakurya wanakuwaga watata sana!ngumi mkononi!yaani Mimi hao hapana kwa kweliAlikuwa ananikagua kila siku hadi kuninusa papuchi kuangalia kama ninauza mechi....hahaha halafu ni kaboy tu.
Wewe tony huko uliko utafika mbinguni umechoka sana
Mkurya noma ...ilikuwa ni abusive relationship. halafu wanatembea kwenye makundi kama nyumbu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hyo Kali aseehh!ila wakurya wanakuwaga watata sana!ngumi mkononi!yaani Mimi hao hapana kwa kweli
Master j alikua na church marriage bado alikua hajadivosi nafikiri!na Sarah ndo alikua anaanza mziki na kundi la wakilisha enzi hizo bwana studio ili ung'ae mtoto wa kike weka mbunye mezani,nafikiri Sarah's akafall kwa master na mzee baba akamuweka ndo mpk Leo wako pamoja kuoana sijui lini asehh!ngoja tusubiri!!kwanza!Hee first boyfriend mpaka uzeeni bila ndoa?
Ila nilimuachia kilema kwenye dole gumba.Mtu anayekutesa na kukupiga kwenye mahusiano hukuharibu akili na unakuwa addicted hapo ndugu wasipo ku rescue kinguvu ndio mwisho mwanaume anakuja kukuua kabisa na usipo saidiwa kumsahau ni shida una Rudi kwa abuser maana alishakupa addiction kama ya madawa ya kulevya, Mimi kosa nisilo samehe mwanaume ni kipigo na Kuni abuse abuse aisee.
Wanawake wengi wako humo!na ukizoea kupigwa huwezi kua na MTU muungwana unaona kupigwa ndo mapenzi yaani unakua km na kaadiksheni flani hivi.Mkurya noma ...ilikuwa ni abusive relationship. halafu wanatembea kwenye makundi kama nyumbu.
Kama wanaishi kama wanandoa its fine for dem😅 inaonesha hana interest ya ndoa sababu kama enzi zile za wakilisha alikuwa 18 that was 20 years ago ina maana sahizi anakaribia 40 yrs oldMaster j alikua na church marriage bado alikua hajadivosi nafikiri!na Sarah ndo alikua anaanza mziki na kundi la wakilisha enzi hizo bwana studio ili ung'ae mtoto wa kike weka mbunye mezani,nafikiri Sarah's akafall kwa master na mzee baba akamuweka ndo mpk Leo wako pamoja kuoana sijui lini asehh!ngoja tusubiri!!kwanza!
Sipendi ukorofi ila Kuna wanaume hawajiamini wao huanza tu kupiga Ili ajione kidume mtu ka huyo una mfanyaje sasaDuuh huu ni ukauzu sasa
Katumika mno na yeye huo mda aliotumia kusubiria ndoa ya mwenzake ife aolewe yeye na kuvumilia ndio madhara yake hayoAnd she is approaching 40 now Sarah!yaani kama kuna mahala alifeli ni hapo!ndoto zake zote kwishaa kabisa