80% ya wanawake huweka mazingira ya wao kupigwa. Hili nakubaliana nalo kwa asilimia 100%.
Chanzo kikubwa cha vipigo kwa wanawake ni kukosa staha hasa kwenye kauli na kupenda kutumia lugha kali na maneno ya karaha yasiovumilika mbele ya wanaume either intentionally au un-intentionally. Hii hupelekea asilimia 80 ya vipigo na hii hali inaepukika kama mwanamke atajitambua tu na kuacha ujinga.
Kingine ni mental disorder za wanaume ambao kuna watu wao hupenda ligi tu. Yani mtu ana anger disorders kwahio hana control na yeyote anaejaribu kumpinga au kufanya jambo kinyume nae basi wanaanza parling[emoji28]!
Mtu kama huyu ndio utakuta hata mwanamke akimpa remote na mkono wa shoto kamtia kibao. Akimpa maji kwenye kikombe badala ya glass kamtia kelebu. Anakuwa na wivu wa kijinga mke akisalimiwa na mfanyakazi mwenzie tu kipigo.