Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Mwanamke bila kumpiga hawezi kukuheshimu. Na tena akili haiwezi kukaa vizuri. Atatafuta hata jamaa linalompeleka ndo ataliona dume, litapewa hadi ndogo. Wewe utaonekana boya tu
 
Mtu anayekutesa na kukupiga kwenye mahusiano hukuharibu akili na unakuwa addicted hapo ndugu wasipo ku rescue kinguvu ndio mwisho mwanaume anakuja kukuua kabisa na usipo saidiwa kumsahau ni shida una Rudi kwa abuser maana alishakupa addiction kama ya madawa ya kulevya, Mimi kosa nisilo samehe mwanaume ni kipigo na Kuni abuse abuse aisee.
One of her addictions must’ve been having her stinky snatch stretched and smelfed up everytime she got back home. She must have enjoyed this shit everytime to last four years with dude. I know for a fact women will hold on to men who dare go down on them even once.
 
Ni kweli ulichoandika
 
Kuna interview moja alikuwa anahojiwa master j akasema imechukua miaka 10 kuvunja ndoa yake kwasababu mke wake alikuwa anaweka pingamizi hakutaka ndoa ivunjwe
Na mwaka huu ndio mwanamke ameridhia na utaratibu wa ndoa ya kikiristo kama mke na mme hawajakubaliana ndoa haivunjwi
Huwa kila baada ya miezi sita mnaitwa mmoja akisema hayupo tayari mnapewa miezi sita ya kujitafakari
 
Sisi tuliokua zamani tuliambiwa na wazee kwamba kama ikitokea ugomvi kati yenu ndani ya ndoa mwanaume usikubali kulala na mkeo hadi kukuche bila kushiliki nae kimapenzi .Unashauliwa kumbembeleza mkeo hata kama kwa kutumia nguvu ili ushiliki nae na hapo ugomvi utaisha tu.Kosa kubwa wanaume tunafanyaga ni kumununia mkeo,Yan mke kanuna na Mme nae kanuna Sasa hapo mnashindana kununa hii n mbaya Sana manake chuki huongezeka na visasi na mwisho ni kuumizana.Pia Mana ya upendo ni kuvumia penye udhaifu na kuhulumiana,Kumpga mkeo ni udhaifu mkubwa Sana na ukiona katika ndo maelewano hakuna na Hali imekua mbaya Bora kuvunja ndoa kuliko kuja kuuana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakumpindua, alikuta washatengana. Na isue Huyo mrombo Ana mahasira yupo kama bipolar. Yule mke wake wa mwanzo Sasa ni nabii hapo daslam, na nadhani pia kaolewa na mzungu
Yes walitengana kitambo nadhani Shaa hakuingilia ndoa yao. Kumbe jamaa ni mtu mwenye tatizo la kuwa hasira?
 
Ndoa za Watu waachieni..Huyu anasema tu..Ukimsikiza mumewe unaweza ukamsaidia Kumpiga huyo Mwanamke...Unaweza kuta alikua kapelekwa Trip kaita mwanaume wake wa huko jamaa kawaona...Je kama ni Wewe unafanyaje unakatia mtu tiket unamkuta na mtu...Haya Mambo acheni tu Wanawake hawa hamjui tu....waoneni tu...

Na sisi Hapa We are Africans tukiiga ujinga wa Ulaya we are done....Hapa Ni Afrika hamna haki sawa...hakuna Hilo hata Mbinguni hamna....Ni kwamba Mnataka familia za kishoga ndio faida ya Haki sawa....
 
Sisi tuliokua zamani tuliambiwa na wazee kwamba kama ikitokea ugomvi kati yenu ndani ya ndoa mwanaume usikubali kulala na mkeo hadi kukuche bila kushiliki nae kimapenzi .Unashauliwa kumbembeleza mkeo hata kama kwa kutumia nguvu ili ushiliki nae na hapo ugomvi utaisha tu.Kosa kubwa wanaume tunafanyaga ni kumununia mkeo,Yan mke kanuna na Mme nae kanuna Sasa hapo mnashindana kununa hii n mbaya Sana manake chuki huongezeka na visasi na mwisho ni kuumizana.Pia Mana ya upendo ni kuvumia penye udhaifu na kuhulumiana,Kumpga mkeo ni udhaifu mkubwa Sana na ukiona katika ndo maelewano hakuna na Hali imekua mbaya Bora kuvunja ndoa kuliko kuja kuuana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anakukwaza daily hiyo hamu ya kudinya au kudinywa inatoka kumbuka lile tendo is all about feelings kama huna hisia mnachoshana tu.
 
[emoji23][emoji23]wewe utakuwa ni mtu mfupi,
Ndio wanakimbiliaga mawe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji113][emoji113]
 
Sarah kwao maisha bora nafikir ni first boyfriend wake!maana sijawahi skia ana mwanaume mwingine,sasa hajiamini na maamuzi!
She was bright girl enzi anasoma watu walidhani atakuja kua hata mkuu wa wilaya au mbunge ,alipoishia ni hapo!
Ngumu kutoka pale Shaa.
Master ndo wa 1 kuimaster papuchi. Akavunja barrier. Hawezi toka pale. Na Master nasikia ana shoo za kibabe.
 
kuna siku nilikuwa nimechill tu nyumbani na mjomba wangu, ni mdogo hivi ana miaka kama 7 hivi, akawa ananilalamikia mama ake anamchapa, nikawa namwambia mtoto wa kiume uvumilie hata ukipigwa usilielie, akaniambia kwani we ukipigwa hulii nikamwambia yes, sasa akawa ananipiga makofi ya mkono hivi kama utani nikawa namwambia nipige tena siumii akawa anapiga kwa nguvu zaidi lakini wapi

sasa nikawa busy na simu huku ananipiga sijui alipata wapi idea ya ku-improvise akaniwasha kofi la uso aisee kwa mara ya kwanza niliona nyota nyota, sikujua kama kofi huwa linauma kiasi hiko, nikasema sitakuja kumpiga mtu kofi la uso hata iweje maana kama mtoto tu inakuwa hivyo je mimi mtu mzima nikimlabua mtu.

So Mke wangu hata akiniudhi nampotezea tu, hakuna cha ngumi wala kofi maana yote yanauma sana, akiniboa zaidi namyima hela tu, hilo ni teso tosha. . .
 
Back
Top Bottom