Je, maswali haya yana majibu?

Je, maswali haya yana majibu?

Habarini ndugu wananchi wa jamii forum
Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia

Nimekuwa nikijiuliza sana

●Je? ni muda gani muda ulianzishwa
●Nini kilianza muda au dunia?
●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa?
●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
Mwenyewe unaona umewaza mambo ya maana kweli. Acha upuuzi kawaze mambo ya maana!
 
Yapo maswali yasiyo na majibu lakini maswali yako yana majibu.

Je? ni muda gani muda ulianzishwa
JIBU: Hapakuwa na muda kabla ya muda, Hivyo hauwezi kuuliza kuhusu muda ambao muda ulianzishwa.Kwa maana nyingine ni sawa na kuuliza "North of North pole" swali halina mantiki.Hauwezi kusema "Kabla ya muda wakati hapakuwa na "kabla"(muda)

●Nini kilianza muda au dunia?

JIBU; Swali jepesi, Muda ulianza kabla ya dunia.

●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa?

JIBU: Swali lako halijajitanabaisha kwa maana ya malipo ya namna gani (Hali/Mali).Pesa ni mfumo tu ambao umevumbuliwa na wanadamu kama njia ya kulipia bidhaa au huduma.Thamani ya pesa ipo katika mali au huduma.Endapo mali na bidhaa zote zimetokana na dunia(madini,mazao n.k) pia huduma zote zinatokana na nguvu kazi za wanadamu waliopo duniani (uchimbaji,kilimo n.k), Je deni hilo litoke wapi wakati huduma na bidhaa zote ni za duniani?

●Tunajifunza vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?

JIBU : Swali lako halijajifafanua vizuri, kwa maana ya kitu ambacho hakipo unamaanisha nini? Tafadhali fafanua vyema.
 
Mfano wa kujifunza kitu kisichokuwepo
Future after life tunafundishwa vipi kitu ambacho akipo tukakielewa

Point ya deni la dunia..nilimaanisha kila nchi duniani ina deni je pesa kazi yake ni nn? Km mwanadamu ndie mgunduzi ..

Point ya nne muda ulianzaje kabla ya dunia huo muda ulikuwa unaexist kwenye nn? Ilihali dunia haipo
 
Bila shaka majibu ya maswali mengine umeyaelewa vyema.Nakupatia majibu zaidi kwa yaliyosalia.

Kuhusu kufahamu mambo yajayo "future" JIBU ni kwamba, kama jinsi watabiri wa hali ya hewa wanavyoweza kubashiri (Nasisitiza "Kubashiri" sio uhakika 100%) Ndivyo tinavyoweza kuzungumzia mambo yajayo tisiyoyafamu kupitia tafiti na uchunguzi hususan wa kisayansi.Mfano inajulikana kwamba kwa ongezeko la joto linalotokana na "global warming" na "green house" effects theluji ya mlima Kilimanjaro itatoweka baada ya miaka kadhaa kulingana na mahesabu.Kuhusu upande wa kiimani, nadhani mwongozo unatoka kwenye kiini cha imani husika.Mfano wakristu kiini cha imani ni Mungu na mwongozo ni Biblia, hivyo habari za mambo yajayo yanatoka humo.

Kuhusu swala la deni, Nadhani ni swali dogo sana kwa wataalam wa uchumi unaweza kupata majibu bora zaidi, Ila kwa ufahamu wangu thamani ya fedha ipo katika huduma na bidhaa (trade) kwa maana ya kwamba lazima uwiano uwepo, kimoja kikizidi inashusha thamani ya kingine.Unapodaiwa pesa maana yake unadaiwa gharama za huduma/bidhaa.Unaposema watu walivumbua pesa ni kweli, wakiwemo wachina hivyo ukiambiwa watanzania mnadaiwa na wachina japo nanyi ni miongoni mwa watu mliovumbua pesa maana yake mnadaiwa kwa huduma/bidhaa.

Poont ya nne, Muda ni mida na dunia no dunia, Muda ulianza na ulimwengu kisha dunia ikafuata, maana yake ulimwengu ulianza takriban miaka bilioni 14 iliyopita kisha dunia ikafuata miaka bilioni 3.5 (same timeline).Unadhani hapakuwa na kitu kabla ya dunia? You are wrong, dunia imekuja baadaye sana baada ya ulimwengu kuwepo.

Bila shaka maswali yako yaliyokusumbua ukidhani hayana majibu leo umepata majibu.
 
Bila shaka maswali yako yaliyokusumbua ukidhani hayana majibu leo umepata majibu
Kwa ninajua Universe na dunia vilianza pamoja maana vinategemeana .....hio miaka ulioandika hapo sikubaliani nayo ...na tumedanganywa haswa
 
Habarini ndugu wananchi wa jamii forum
Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia

Nimekuwa nikijiuliza sana

●Je? ni muda gani muda ulianzishwa
●Nini kilianza muda au dunia?
●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa?
●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?

*Muda ulikuwepo tangu dunia ilipoanza kuwepo,kilichokuwa hakipo ni jina tu na kipimo maalum.
Rejea formula inayozaa muda ktk physics time=distance/speed,hapa unagundua muda unatofauti kulingana na upo wapi.

*iliposimama dunia na muda ulianza mara moja ni vitu sambamba.

*dunia haina deni na mtu wala kitu,yenyewe ipo tu,kiumbe binaadam ndiye mwenye deni na muda,muda wote kaachwa na yuko nyuma ya muda,hivyo huukimbiza muda.

*sijaelewa ni kitu gani hiki ambacho hakipo,unakusudia muda??muda kwa tafsiri ya kawaida kabisa ni uwepo wa wa uhai.ukikoma uhai duniani muda pia umekwisha kifo cha asili.
 
Kwa ninajua Universe na dunia vilianza pamoja maana vinategemeana .....hio miaka ulioandika hapo sikubaliani nayo ...na tumedanganywa haswa
Utanisamehe kwa kukueleza ukweli, Kwamba kama Unajua Universe na Dunia vilianza pamoja basi kama jambo dogo kama hili na simple concept kama hizi haufahamu vizuri basi nadhani haya mambo ni makubwa sana kwako na itakuwa vigumu sana mtu kukuelezea ukaelewa.Hivyo badala ya kujikita zaidi katika kubishana na kupinga usiyoyajua ninakushauri ujikite zaidi katika kusoma na kujifunza articles mbalimbali jitahidi kutumia google zaidi upate information na elimu.Maana dunia ilishatoka huko ulipo, kama mambo madogo hayo hauyaelewi tukikuelezea kuhusu "quantum semi-positron entanglement " , " special theory of relativity" ""wave-particle duality" ndiyo utaelewa?? Sishangai pia kuona simple questions kama hayo uliyokuja nayo umekosa majibu! Go read read read!
 
Back
Top Bottom