ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #381
He umewahi kukutana na hiyo?Unaweza msaidia ke kawaida tu, Lakini yeye hutaka kulipa fadhila shida inaanzia hapo
Kwanini usimwambie hutaki kulipa😀
He umewahi kukutana na hiyo?Unaweza msaidia ke kawaida tu, Lakini yeye hutaka kulipa fadhila shida inaanzia hapo
SifahamuUkiachana na mama mwanamke ni fursa ipi anatoa kwa mwanaume?
NomaMwanaume anayetaka mbunye hana akili
Busara zikiwa juu kama Mfalme Suleiman tunakwepa 😄He umewahi kukutana na hiyo?
Kwanini usimwambie hutaki kulipa😀
Busara zikiwa chini hamkwepi😀Busara zikiwa juu kama Mfalme Suleiman tunakwepa 😄
😄,,, ukikutana na kazi ambayo hujawai piga busara hupotea kabisa,,Busara zikiwa chini hamkwepi😀
Ila wanaume hua ni ngumu kusema hapana🤔