ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #341
Malizia wewe mkuu rukhusaaMbona kama vile kuna vipande umeviruka story inamashimo mashimo
View attachment 3605178
Malizia wewe mkuu rukhusaaMbona kama vile kuna vipande umeviruka story inamashimo mashimo
View attachment 3605178
Sawa jiraniKabisa
Na kuna mahali mtu anakubananisha iwe unampenda ama humpendi utatoa tu 😅.
Halafu likimaliza linaanza kujichekesha kama fisi vile.mxiuuuuu
nakupa mkuyenge. How about it?Nikikupa mbunye wewe utanipa Nini???
mbona ahsante sio kitu kibaya sana lakini sister.Wanaume wanaona ni haki yao kupewa uke kama ahsante. Na hilo ndio tatizo kubwa lipo toka enzi za mababu na mabibi.
Muhimu kusimamia misimamo yako kama hutaki kataa linda utu wako..!!
Mkopeshaji anakuwa na hitaji la kurudishiwa pesa lakkni kutokana na kuzungushwa na mkopaji inamlazimu kujilipa tu mbunye ili pesa yake isiende bure. Ila kufanya hivyo unakuwa umeshaingia kwenye mtego wa kuendelea kutoa pesa kwa mkopaji. Ni bora kukwepa hiyo mbunye tu.Ukilipwa mbunye,,
Hapo ni kuwa ulionyesha kuitaka na muhusika akaona akurahisishie kaomba mkopo kabisa ili usimralue bure
Ila watu 😅😅Mkopeshaji anakuwa na hitaji la kurudishiwa pesa lakkni kutokana na kuzungushwa na mkopaji inamlazimu kujilipa tu mbunye ili pesa yake isiende bure. Ila kufanya hivyo unakuwa umeshaingia kwenye mtego wa kuendelea kutoa pesa kwa mkopaji. Ni bora kukwepa hiyo mbunye tu.
Kweli kabisa, unajikuta kwenye environment ambayo unatumia ulichonacho. Na vile wanawake wanajua wanaume kwa mbunye ni ngumu kuchomoa.Hakuna anayetaka ni dunia tu inatuendesha
Kwanini ni ngumu kuchomoa?Kweli kabisa, unajikuta kwenye environment ambayo unatumia ulichonacho. Na vile wanawake wanajua wanaume kwa mbunye ni ngumu kuchomoa.
Mi nakumbuka zamani kuna binamu yangu alinikopa pesa though yeye alikuwa mkubwa kwangu. So kunilipa ikawa issue alikuwa nafanya business yake ya kuuza uji na uwezo wa kupata hiyo buku ulikuwepo lakini mwisho wa siku alinilipa uji (na maanishi chakula cha uji). Je asingekuwa ndugu yangu na kiasi cha fedha kikawa kikubwa labda angeopt kutoa mbunye ili tumalizane.Ila watu 😅😅
Aisee kazi ni kipimo cha utuMi nakumbuka zamani kuna binamu yangu alinikopa pesa though yeye alikuwa mkubwa kwangu. So kunilipa ikawa issue alikuwa nafanya business yake ya kuuza uji na uwezo wa kupata hiyo buku ulikuwepo lakini mwisho wa siku alinilipa uji (na maanishi chakula cha uji). Je asingekuwa ndugu yangu na kiasi cha fedha kikawa kikubwa labda angeopt kutoa mbunye ili tumalizane.
Mamie hapo ni fifty fifty 😂😂😂 na ndo amekuvizia una upwiru unachomokaje. Maana ukisusa mbunye na pesa hupati. 😅Kwanini ni ngumu kuchomoa?
Poleni mie kama mtu sijampenda wala siwezi kupagawaMamie hapo ni fifty fifty 😂😂😂 na ndo amekuvizia una upwiru unachomokaje. Maana ukisusa mbunye na pesa hupati. 😅
Hahahaha mazingira mama. So wewe hujawahi kutoa mbunye katika mazingira ya namna hiyo? Kama ni ndiyo basi hongera sanaPoleni mie kama mtu sijampenda wala siwezi kupagawa
Asantee broHahahaha mazingira mama. So wewe hujawahi kutoa mbunye katika mazingira ya nmana hiyo? Kama ni ndiyo basi hongera sana
AsanteNa huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuyenge tupu we kaa nao tu!!!! Haunogi hatanakupa mkuyenge. How about it?
Hii comment ilitakiwa itoshe kufunga uzi 🤣🤣🤣Nadhani ndo dunia ilivyo, penye matatizo ndo penye fursa.
Hata wanawake nao ukitaka mbunye Wanataka uwape hela, automatically wana taka wa benefit kwenye matatizo yako.