Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Yaan hapa ni kama unasema ukisaidiq mtu lazima ulipwe fadhila sasa huo ni msaada?

Hii ni tofauti kabisa

Hii imemiuma aisee😢
Wanaume 😭
Isikuume maana hata yeye alinipenda, tena sana...hapo kuna shida?
 
Whatever, mpenda ngono anaona ni fursa kwake na halaumiwi kwa kuwa ndo hitaji lake ili asolve kitu kwa mtu mwingine ndio nature yenyewe dada yangu!

Hebu tazama lisisiemu linavyojipakulia, ujue ni kama simba tu porini, mnyama anayekuwa weak zaidi yake anakula tu ila mradi kaja mbele yake au kamuona, so kinachomfanya aliwe ni weakness yake na kwa kuwa ni chakula, lkn sio wote wanaliwa ndio kama ulivyokwepa ule mtego mwenyewe, na hii kama vile masisiemu yakiona loose ball tu yanavyojipigia kama hayana ndugu wala jamaa mwenye shida, ndio principles za biology zinavyosema na ndio tunayaishi!

Survival of the fitest na the stronger, strengh sio lazima iwe muscles hata opportunity tu, kama vile aliye juu anakula tu aliye chini kwa namna zote financially, utajiri, uboss, kufanya vizuri darasani unakuta gals wanakufuata tu, na zingine nyingi nyinginezo, Unafikiri mlaji anaona haya au dhambi? Thubutuu

Ni philosophical tu haya mambo...
 
Whatever, mpenda ngono anaona ni fursa kwake na halaumiwi kwa kuwa ndo hitaji lake ili asolve kitu kwa mtu mwingine ndio nature yenyewe dada yangu!
Ila ngono nayo ina namna yake ukifanya kwa ajili ya kitu hata hufaidi
Yaan ufanye huku umefumba macho🤣🤣
Hebu tazama lisisiemu linavyojipakulia, ujue ni kama simba tu porini, mnyama anayekuwa weak zaidi yake anakula tu ila mradi kaja mbele yake au kamuona, so kinachomfanya aliwe ni weakness yake na kwa kuwa ni chakula, lkn sio wote wanaliwa ndio kama ulivyokwepa ule mtego mwenyewe, na hii kama vile masisiemu yakiona loose ball tu yanavyojipigia kama hayana ndugu wala jamaa mwenye shida, ndio principles za biology zinavyosema na ndio tunayaishi!
Ma CCM yana tunyoosha
Yanatumia weakness zetu za uoga kujinufaisha
Survival of the fitest na the stronger, strengh sio lazima iwe musles hata opportunity tu, kama vile aliye juu anakula tu aliye chini kwa namna zote financially, utariji, uboss, kufanya vizuri darasani unakuta gals wanakufuata tu, na zingine nyingi nyinginezo, Unafikiri mlaji anaona haya au dhambi? Thubutuu

Ni philosophical tu haya mambo...
Exactly
 
Astghafirullah 🤣🤣🙌

Una nini wewe lakini 🤣🤣
Na imagine fisi anachekaje 😆
Yanakera wewe niliwahi bananishwa mahali kama sio mhasibu kutokea ingekuwa stori nyingine. Tulipurukushana mle ofisini kwake mafaili yalidondoka ovyoovyo 😅😅😅 halafu linajichekesha chekesha kama ngiri na kitambi chake cha local beer.
 
Back
Top Bottom