Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Kwenye kipindi cha njaa ndo kipindi kizuri cha watu wenye unafuu kutajirika, nature ndo iko hivyo, Sioni cha ajabu hapo,wewe kubali au kataa basi inakuwa imeisha.

Nilidhani wanaume wanawabaka wanawake wenye uhitaji,kumbe wanawatongoza,sio kosa hata Mimi ukikaa vibaya huku una uhitaji lazima unizawadie kitumbua, golden chance never comes twice. Wakati tunajenga wazazi wenu walikuwa bize kucheza bao,Leo hii unataka uzazi (ubaba,)kwa mwanamume asiye mzazi wako.🤔🤔🤔

Ungetaka upendo kama unavyo tarajia basi kapange kwenye nyumba ya baba yako mzazi, tofauti na hivyo wewe ni halali yetu sisi wanaume wa fursa
 
Ila ni dhambi kubwa sana unapoona mtu ana shida na wewe unaona ndio muda wa kutatua shida zako
Hapo ubaya uko wapi mzee
Mwenye shida mmoja akikutana na mwenye shida mwngne. Kila mmoja anamsaidia mwenzake kutokana na kile alichojaliwa.
 
Binafsi sihitaji ngono kama fidia kwa mwanamke atakayehitaji msaada toka kwangu

Mipaka yangu wanawake wote niliowakopesha wananilipaga wenyewe bila mitego yoyote aseeh...

Vilevile nikaelekezwa msaidie mtu bila kuhitaji fidia hasa hizi za ngono kama huwezi usimsaidie.
Uvuvi pro max
 
Kwenye kipindi cha njaa ndo kipindi kizuri cha watu wenye unafuu kutajirika, nature ndo iko hivyo, Sioni cha ajabu hapo,wewe kubali au kataa basi inakuwa imeisha.
Sema watu waliiokosa maadili
Nilidhani wanaume wanawabaka wanawake wenye uhitaji,kumbe wanawatongoza,sio kosa hata Mimi ukikaa vibaya huku una uhitaji lazima unizawadie kitumbua, golden chance never comes twice. Wakati tunajenga wazazi wenu walikuwa bize kucheza bao,Leo hii unataka uzazi (ubaba,)kwa mwanamume asiye mzazi wako.🤔🤔🤔
No comment
Ungetaka upendo kama unavyo tarajia basi kapange kwenye nyumba ya baba yako mzazi, tofauti na hivyo wewe ni halali yetu sisi wanaume wa fursa
Wewe ndio father house nini?
 
Ila ni dhambi kubwa sana unapoona mtu ana shida na wewe unaona ndio muda wa kutatua shida zako

Ndio maisha yenyewe mkuu, kwani Bakhresa ana dhambi kutajirikia kwa maskini? Mtatuzi wa shida siku zote anafaidika na shida za wenye shida, ndo maana tunasema ukitaka kufanikiwa tazama fursa ambayo haijatumika ndio nipe nikupe! Hamna dhambi wala nini
 
Sawa sawa ila sio kwenye ngono
 
Sawa sawa ila sio kwenye ngono

Whatever, mpenda ngono anaona ni fursa kwake na halaumiwi kwa kuwa ndo hitaji lake ili asolve kitu kwa mtu mwingine ndio nature yenyewe dada yangu!

Hebu tazama lisisiemu linavyojipakulia, ujue ni kama simba tu porini, mnyama anayekuwa weak zaidi yake anakula tu ila mradi kaja mbele yake au kamuona, so kinachomfanya aliwe ni weakness yake na kwa kuwa ni chakula, lkn sio wote wanaliwa ndio kama ulivyokwepa ule mtego mwenyewe, na hii kama vile masisiemu yakiona loose ball tu yanavyojipigia kama hayana ndugu wala jamaa mwenye shida, ndio principles za biology zinavyosema na ndio tunayaishi! Survival of the fitest na the stronger, strengh sio lazima iwe musles hata opportunity tu, kama vile aliye juu anakula tu aliye chini kwa namna zote financially, utariji, uboss, kufanya vizuri darasani unakuta gals wanakufuata tu, na zingine nyingi nyinginezo, Unafikiri mlaji anaona haya au dhambi? Thubutuu

Ni philosophical tu haya mambo...
 
Ni kweli lakini kwenye scenario kama hii mwenye nyumba na ana nyumba na mpangaji ana hela...kuna haja gani ya kuhusisha nyuchi?
Huoni kuwa mwenye nyumba ndo boss!? Unataka kusema mwenye duka na mwenye hela(mteja) wote wako kiwango kimoja!?
 
Back
Top Bottom