Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Alidhani na ww ni kama Wale wengine wapenda kitonga. Alidhani you're cheap, hapo mengine angeona hiyo ni fursa. So he was shooting his shot, kama mwanaume mwenye tamaa, kwa mwanamke mwenye tamaa pia
 
Mi pia nisha wahi kukutana na hali hiyo kwenye taasisi fulani, ila kwa sasa rushwa ya ngono sio wanawake tuu kuwapa wanaume kuna baadhi ya wanawake wenye nafasi mbalimbali huwa fanyia hivyo wanaume, wanao hitaji either ajira.
Si ndio sababu ya bodaboda kula wake za watu, ni rushwa hiyohiyo na ushawishi wa namna hiyohiyo.
 
Hiyo mala nyingi naona ni tabia pia aina ya maisha ambayo mtu amepitia, mwingine unakuta kakua hivyo tamaa nyingi, mwingine alikuwa kijana smart tu lakini baadhi ya wasichana aliokutana nao wamejeruhi moyo wake, hivyo naye anakuwa ameazimia moyoni mwake kuwa yeyote atakae jichanganya ameisha na hii hutokea katika uhitaji wa mtu
 
tatizo huwa ni nini kwa baadhi ya wanaume kutaka kutumia matatizo ya wanawake kama fursa ya kupata mahusiano ya kimapenzi? Kwa nini wakiona mwanamke yuko kwenye hali ngumu, badala ya kusaidia kwa ubinadamu, wao huona huo kama mwanya wa kutimiza matamanio yao?
Si support huyo mwenye nyumba wako alichofanya kuwa ni sahihi, ila nina mtizamo tofauti.

Huyo mwenye nyumba wako umemuanzishia uzi sababu hujamtamani kingono, ungekua umevutiwa nae, hapo alivokupiga vocal kimoyomoyo ungeshukuru na kumtunuku chap..usingesema ohh kwa vile una shida ya kodi ndo maana ana take advantage

Au nasema uongo dada zangu Seran ShesRise_1 leo dada Suhendra
 
Hata wanawake hutaka kujinufaisha ukiwaomba Mbunye.

So kila mtu atumie alichobarikiwa kupata asivyo navyo.
Dunia imekaa hivyo.

Ila kwenye mambo ya serikali hapo kwa kweli hoja unayo.
Ila kampuni binafsi kila mtu apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom