Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Wanaume tujikite ktk kazi,tusitumie jinsia zetu kujinufaisha. Nataka niwaambie wanaume wenzangu wenye tabia hizi mbovu na ambazo hazikubaliki ktk jamii tuache mara moja,kwani licha ya kuwa zinakiuka miongozo,kanuni,taratibu na sheria za utumishi wa umma bali pia ni fedheha kuwa ipo siku moja utakamatwa,utawekwa zizuizini na utaadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Lazima watanzania hasa nyie watumishi wa umma mfanye kazi kwa weledi.
Safiii
 
Mi pia nisha wahi kukutana na hali hiyo kwenye taasisi fulani, ila kwa sasa rushwa ya ngono sio wanawake tuu kuwapa wanaume kuna baadhi ya wanawake wenye nafasi mbalimbali huwa fanyia hivyo wanaume, wanao hitaji either ajira.
Mambo yana enda kasi
 
Pia ukijichanganya kwa mwanamke ndio hivyo hivyo kiufupi watu hutumia matatizo ya wengine kujinufaisha haijalishi ni jinsia ipi.
Ili kupata kitu lazima utoe kitu
Waswahili husema kila neno neno
 
Ukisoma hapa unaweza sema watu mpo serious sana kumbe mtaaani ndo michezo yenu online mnalalamika.


"Kulombana sio anasa" ShesRise_1(2026)
Watu kama wewe hawakosekani
Ndio nalombana ila sio kwa mtindo huo
 
Ni tamaa tu zinatusumbua ndugu mtoa mada, ukiona mwanamke ana makebo basi akili inahama, tusamehe sana kama tumekukwaza
 
Hiyo mala nyingi naona ni tabia pia aina ya maisha ambayo mtu amepitia, mwingine unakuta kakua hivyo tamaa nyingi, mwingine alikuwa kijana smart tu lakini baadhi ya wasichana aliokutana nao wamejeruhi moyo wake, hivyo naye anakuwa ameazimia moyoni mwake kuwa yeyote atakae jichanganya ameisha na hii hutokea katika uhitaji wa mtu
Kutaka kuchovya kila sehemu ni ushamba tu na uroho
 
Asante

Si sehemu zote utatoa mbunye,, na sijasema itolewe tu sio nyanya hiyo iungiwe kila mboga.
Lakini tambua nafasi yako

Yaani hao na mbunye ni sawa na mgonjwa na uji
Umeeleweka sweetie
 
Si support huyo mwenye nyumba wako alichofanya kuwa ni sahihi, ila nina mtizamo tofauti.

Huyo mwenye nyumba wako umemuanzishia uzi sababu hujamtamani kingono, ungekua umevutiwa nae, hapo alivokupiga vocal kimoyomoyo ungeshukuru na kumtunuku chap..usingesema ohh kwa vile una shida ya kodi ndo maana ana take advantage

Au nasema uongo dada zangu Seran ShesRise_1 leo dada Suhendra
😅😅😅 noma
 
Hata wanawake hutaka kujinufaisha ukiwaomba Mbunye.

So kila mtu atumie alichobarikiwa kupata asivyo navyo.
Dunia imekaa hivyo.

Ila kwenye mambo ya serikali hapo kwa kweli hoja unayo.
Ila kampuni binafsi kila mtu apambane na hali yake.
Sawa sawa
 
Mdogo wangu we jifunze tu kutumia mwanaume!!!!
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukusaidia au kukupa dili bila kutoka mbunye.
Hao kwenye tamaa za kimwili hawanaga ustaarabu
Mwanamke anaomba mkopo unamkopesha vizuri tu, sasa kwenye kulipa anataka akulipe interms of mbunye. Sometimes mnayataka wenyewe.
 
Back
Top Bottom