Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Kuna binti mmoja kaingia mjini Dar juzi kati kwenye interview na kampuni flani, ila ndani ya masaa 72 ameshamkubalia MD, HR na wadau wengine... wawili wameshamla. Hii ni hatari kwa afya, wadada na nyie ni tatizo, msichana ana umbo zuri na muonekano mzuri, ana kiingereza kizuri ila sasa......
 
Tatizo lako lolote au changamoto kwa MTU mwingine ni fursa au opportunity.

Watu wengi katika hii Dunia wanataka wa take advantage kwako , kwa serikali n.k au watengeneze loopholes.

That is how life is .

Kikubwa ni kujitambua na kuweka standard pale panapobidi

Kwakuwa watu wanaombwa rushwa ya ngono Kuna ambao hata Huwa hawapati kazi na hao ndo wengi sana .
 
Kumsaidia mtu kwa moyo mmoja, kunahitaji upeo mkubwa wa kiakili na kisaikolojia , unao wasema ni ile aina ya wanaume ambao hawajakomaa kihisia.

Wanaelelewa kuwa wakati mtu yupo kwenye matatizo , uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi huwa ni mdogo sana.

Kwahiyo issue hapo ni kukosekana kwa ubinadamu tu.
 
Kuna binti mmoja kaingia mjini Dar juzi kati kwenye interview na kampuni flani, ila ndani ya masaa 72 ameshamkubalia MD, HR na wadau wengine... wawili wameshamla. Hii ni hatari kwa afya, wadada na nyie ni tatizo, msichana ana umbo zuri na muonekano mzuri, ana kiingereza kizuri ila sasa......
That's the only way out kwake, ila itamtesa sana baadae kama hajaridhia
 
Sasa afanyejee na yeye anataka kazi??
 
Kuna jirani yangu alikosa pesa ya chumvi sh 500 tu nikampatia nayeye akanipatia just imagine chumvi tuu mtu anavua nguo nilivomaliza nikamwambia wewe ni zero brain
 
That's the only way out kwake, ila itamtesa sana baadae kama hajaridhia
Anapenda ngono balaa na lifestyle isiyo yake, so kwake as far as una pesa au una maisha flani hivi kwake sio shida, kwahio BACK TO THE TOPIC, Ni wanaume wachache sana wanaotumia matatizo ya wanawake ila wanawake wenyewe hutumia matatizo yao ili kujinufaisha
 
matatizo ya mwanamke huwa ni fursa kwa baadhi ya wanaume. Katika jamii na mahusiano, wanaume wenye nia tofauti hutumia changamoto za kihemko, kifedha, au kisaikolojia za wanawake kujinufaisha wao wenyewe.
Hatari sana
 
Mwanaume huongozwa zaidi na tamaa, na pengine ukaribu wa mwanamke mwenye changamoto zake huweza pelekea mwanaume anaemsaidia atamani kumuweka..😜
Kuwekana kusiadia for free aaah
Ukiona mwanaume anae furahia matatizo ya mwanamke, basi tambua huyo mwanamke hajakamilika.
Lakini wapenzi wanapo achana kwa ubaya basi basi kiasili hua hakuna anae tamani kuona Ex wake akifanikiwa kwa namna yeyote.
Kuna ka ukweli hapa
 
ndugu mdau wa jf,
ni muhimu sana changamoto kama hizo zikupe hamasa na kuchochea nguvu zaidi ya kujizatiti katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa, ili kujikomboa katika hali hiyo ya unyonge wa kiuchumi.

Uko sahihi kwamba,
watu wengi hutumia changamoto wanazopitia wengine kujifurahisha kimwili au kijinufaisha kiuchumi au kisiasa.

Kumbuka,
katika nyakati hizi za utandawazi, uovu mwingi umejificha katika wema.

Mshirikishe Mwenyezi Mungu akuvushe salama kwenye kwenye mtihani huo, na kukuvusha salama kwenye mto huo ambao umejaa mamba wengi ambao ni lazima kuuvuka 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Asantee mdau❤️
 
Back
Top Bottom