Cha muhimu watu wapeweSio kila mtu apewe

karibu sana aise ndugu mdau muhimu na wa heshima sana jf 🐒Asantee mdau❤️
Sema ni ukosefu wa maadili tuMwanaume mshenzi akiona tu mwanamke mwenye shida tayari kichwa cha chini kinadaka network
Usipotaka kuwapa wangapi nawe usipende kuchukua kwa wangapi. Tujitegemee in Nyerere voice 😆😆Nipe nikupe nimejikuta nacheka 😅
Utawapa wa ngapi sasa🙌
Mpaka sasa sijaelewa yaani hua shida ni nini?Mwanaume mshenzi akiona tu mwanamke mwenye shida tayari kichwa cha chini kinadaka network
Umelitazama kwenye angle nyingine pia ambayo isingekuwa rahisi kuwekwaNadhani ndo dunia ilivyo, penye matatizo ndo penye fursa.
Hata wanawake nao ukitaka mbunye Wanataka uwape hela, automatically wana taka wa benefit kwenye matatizo yako.
Sawa sitaki kutoa acha nijitegemee tu😅😅Usipotaka kuwapa wangapi nawe usipende kuchukua kwa wangapi. Tujitegemee in Nyerere voice 😆😆
Ni kweli lakini kwenye scenario kama hii mwenye nyumba na ana nyumba na mpangaji ana hela...kuna haja gani ya kuhusisha nyuchi?Haimaniishi umpe uchi, namaanisha generally kila kiumbe kinatoa kitu kupata kitu, huwezi kwenda kwa mama ntilie kula kama huna pesa, huwezi kwenda kwa mwalimu km huhitaji kufundishwa na kadhalika ni mwendo wa nipe nyanya nikupe kitunguu ndio nature inabalance...
Shenzii we mzeeCha muhimu watu wapewe
😁😁😁 Tena wenye familia hao ndio hatari zaidiMpaka sasa sijaelewa yaani hua shida ni nini?
Na mtu ana familia kabisa
Sia kwamba amezidiwa
👊 sawa mdaukaribu sana aise ndugu mdau muhimu na wa heshima sana jf 🐒
Kwenye shida lazima tamaa iwepo na kwa wanaume baadhi huchukua nafasi hiyo kwaajili yao, pale Mwanamke atapoonekana anashida ndo chance kwake kupata alichokuwa anatamani muda tu so kikubwa ni tamaa ilikuwepo lakini pale Mwanamke anapokuja na shida ndio anatumia kama kisingizio kuipata.Hey guys,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu utafutaji wa kazi na fursa mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke.
Mara nyingi naona kuna tofauti kubwa sana.
Mwanaume anaweza kwenda kutafuta kazi au kujifunza kitu fulani, na majibu anayopata huwa ni mawili tu: kazi ipo au haipo.
Mambo yanakuwa ya moja kwa moja.
Changamoto kubwa naiona kwa baadhi ya wanawake, hasa wanapokutana na HR au manager ambaye ni mwanaume.
Badala ya mazungumzo kubaki kwenye kazi au fursa husika, mara nyingine mtu huanza kutengeneza mazingira ya mazoea, stori za karibu, na hatimaye kutongoza.
Niseme wazi, si ofisi zote ziko hivyo, si sehemu zote unaweza kukutana na hali hii, na si wanaume wote wana tabia hiyo(msisitizo).
Lakini ni jambo ambalo linaonekana kujirudia mara kwa mara kiasi cha kuibua maswali.
Najaribu kujiuliza, hawa wanaume wa aina hii huwa wana shida gani?🤔
Kwa nini umtengenezee ugumu mtu anayehitaji kazi au fursa mpaka ahisi kuna masharti ya ziada?
Kwa nini msaada au uwajibikaji uwe na matarajio ya malipo ya kimapenzi?😞
Mfano, mimi binafsi nilikuwa nimepanga nyumba kwa mmiliki ambaye ni mwanaume, ana familia na ni mtu ana ndoa.
Siku moja niliona mambo yangu hayajakaa sawa kifedha, hivyo nikampigia simu kabla hata muda wa kodi haujaisha nikamwambia.
"
Shikamoo mzee, najua tarehe ya kodi imekaribia lakini naona mambo yangu hayaja tik vizuri ikifika ukaona kimya naomba unipe muda kidogo kwa sababu hali yangu bado haijakaa sawa.
Akanijibu kwa upole sana na kuniambia watu wa aina yangu ni waaminifu na makini.
Nikasema sawa, labda ni mtu mwenye uelewa.
Lakini ilipofika muda wa kodi na kuona bado sijalipa, akanipigia simu tena na kusema.
Binti, nimekaa nikafikiria nikakuonea huruma.
Naweza nikakuacha ukae hapo hata miezi sita bila kulipa, au nikakupa sehemu nyingine kwa sababu nina nyumba nyingi🤔
Nikadhani labda ananisaidia kwa ubinadamu.
Kumbe baada ya hapo akaanza kusema jinsi anavyonipenda na maneno mengine mengi ya kimapenzi ( longo longo nyigi in Sugu voice).
Nikajiuliza, inawezekanaje mtu aanze kunipenda mara tu baada ya kujua nina shida? Noma sana.
Nilielewa haraka anachotaka, nikamwambia asijali nitatafuta namna ya kulipa, na kweli nililipa kama nilivyoahidi.
Sasa huwa najiuliza, tatizo huwa ni nini kwa baadhi ya wanaume kutaka kutumia matatizo ya wanawake kama fursa ya kupata mahusiano ya kimapenzi? Kwa nini wakiona mwanamke yuko kwenye hali ngumu, badala ya kusaidia kwa ubinadamu, wao huona huo kama mwanya wa kutimiza matamanio yao?
Au ni matumizi mabaya ya mamlaka na nafasi walizonazo?
Wewe unaonaje? Umewahi kushuhudia au kukutana na hali kama hii? 🤔💭
ShesRise_1 🖐
Sijui wana nyimwa😁😁😁 Tena wenye familia hao ndio hatari zaidi
Inategemea na reception.Shenzii we mzee
Hakuna hiyo
Hivi wanaume hamna kinyaa kuchovya chovya kila pahali
Ex girlfriend wangu imewahi kumkuta hili mwanzo aliniambia na nikampa solution iweje ila baada ya muda nikajua Manager anamla girlfriend wangu ndipo mahusiano yangu na yeye niliyamaliza siku hiyo hiyoHey guys,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu utafutaji wa kazi na fursa mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke.
Mara nyingi naona kuna tofauti kubwa sana.
Mwanaume anaweza kwenda kutafuta kazi au kujifunza kitu fulani, na majibu anayopata huwa ni mawili tu: kazi ipo au haipo.
Mambo yanakuwa ya moja kwa moja.
Changamoto kubwa naiona kwa baadhi ya wanawake, hasa wanapokutana na HR au manager ambaye ni mwanaume.
Badala ya mazungumzo kubaki kwenye kazi au fursa husika, mara nyingine mtu huanza kutengeneza mazingira ya mazoea, stori za karibu, na hatimaye kutongoza.
Niseme wazi, si ofisi zote ziko hivyo, si sehemu zote unaweza kukutana na hali hii, na si wanaume wote wana tabia hiyo(msisitizo).
Lakini ni jambo ambalo linaonekana kujirudia mara kwa mara kiasi cha kuibua maswali.
Najaribu kujiuliza, hawa wanaume wa aina hii huwa wana shida gani?🤔
Kwa nini umtengenezee ugumu mtu anayehitaji kazi au fursa mpaka ahisi kuna masharti ya ziada?
Kwa nini msaada au uwajibikaji uwe na matarajio ya malipo ya kimapenzi?😞
Mfano, mimi binafsi nilikuwa nimepanga nyumba kwa mmiliki ambaye ni mwanaume, ana familia na ni mtu ana ndoa.
Siku moja niliona mambo yangu hayajakaa sawa kifedha, hivyo nikampigia simu kabla hata muda wa kodi haujaisha nikamwambia.
"
Shikamoo mzee, najua tarehe ya kodi imekaribia lakini naona mambo yangu hayaja tik vizuri ikifika ukaona kimya naomba unipe muda kidogo kwa sababu hali yangu bado haijakaa sawa.
Akanijibu kwa upole sana na kuniambia watu wa aina yangu ni waaminifu na makini.
Nikasema sawa, labda ni mtu mwenye uelewa.
Lakini ilipofika muda wa kodi na kuona bado sijalipa, akanipigia simu tena na kusema.
Binti, nimekaa nikafikiria nikakuonea huruma.
Naweza nikakuacha ukae hapo hata miezi sita bila kulipa, au nikakupa sehemu nyingine kwa sababu nina nyumba nyingi🤔
Nikadhani labda ananisaidia kwa ubinadamu.
Kumbe baada ya hapo akaanza kusema jinsi anavyonipenda na maneno mengine mengi ya kimapenzi ( longo longo nyigi in Sugu voice).
Nikajiuliza, inawezekanaje mtu aanze kunipenda mara tu baada ya kujua nina shida? Noma sana.
Nilielewa haraka anachotaka, nikamwambia asijali nitatafuta namna ya kulipa, na kweli nililipa kama nilivyoahidi.
Sasa huwa najiuliza, tatizo huwa ni nini kwa baadhi ya wanaume kutaka kutumia matatizo ya wanawake kama fursa ya kupata mahusiano ya kimapenzi? Kwa nini wakiona mwanamke yuko kwenye hali ngumu, badala ya kusaidia kwa ubinadamu, wao huona huo kama mwanya wa kutimiza matamanio yao?
Au ni matumizi mabaya ya mamlaka na nafasi walizonazo?
Wewe unaonaje? Umewahi kushuhudia au kukutana na hali kama hii? 🤔💭
ShesRise_1 🖐
Haina makombo ile. Akitoka yule inaoshwa inakuwa mpya for future use 😆😆Shenzii we mzee
Hakuna hiyo
Hivi wanaume hamna kinyaa kuchovya chovya kila pahali
Kuna na familia sio kigezo.Mpaka sasa sijaelewa yaani hua shida ni nini?
Na mtu ana familia kabisa
Sia kwamba amezidiwa
Ukiwa na maana hayo mawazo yake ya upuuzi yalikuepo kitamboKwenye shida lazima tamaa iwepo na kwa wanaume baadhi huchukua nafasi hiyo kwaajili yao, pale Mwanamke atapoonekana anashida ndo chance kwake kupata alichokuwa anatamani muda tu so kikubwa ni tamaa ilikuwepo lakini pale Mwanamke anapokuja na shida ndio anatumia kama kisingizio kuipata.
kwani ukinipa mbunye kuna ubaya gani?Mdogo wangu we jifunze tu kutumia mwanaume!!!!
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukusaidia au kukupa dili bila kutoka mbunye.
Hao kwenye tamaa za kimwili hawanaga ustaarabu
Ni kweli lakini kwenye scenario kama hii mwenye nyumba na ana nyumba na mpangaji ana hela...kuna haja gani ya kuhusisha nyuchi?