ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Aaah wewe ndugu yangu hapana aisee!šNaomba buku mkuu.
Aaah wewe ndugu yangu hapana aisee!šNaomba buku mkuu.
Kabisa...yaani ukimuona mtu ana shida na wewe ndio unaona ni muda sahihi wa kupata ny.ge? Seriously ? Hayo mengine anayozungumzia ni exchange ya kawaida ambayo hailengi kutweza utu wa mtu. Imagine unalala na mtu ambaye huna feelings nae kisa huna hela ya kulipa kodi.Sawa sawa ila sio kwenye ngono
Wako kiwango kimoja kwa sababu mwenye duka anategemea mtu anunue na ndio lengo la kuweka dukaHuoni kuwa mwenye nyumba ndo boss!? Unataka kusema mwenye duka na mwenye hela(mteja) wote wako kiwango kimoja!?
Ila wewe leo una nini mdauš¤£šehewalaaah,
hayo ndio maneno sasa watu muhimu huzungumza na wenzao na kutulizana
hata kazi unaweza kujikuta unapata bila wasi š
Nimekuelewa kaka anguWhatever, mpenda ngono anaona ni fursa kwake na halaumiwi kwa kuwa ndo hitaji lake ili asolve kitu kwa mtu mwingine ndio nature yenyewe dada yangu!
Umemaliza kaka nimepata kitu hapaš«”š«”Hebu tazama lisisiemu linavyojipakulia, ujue ni kama simba tu porini, mnyama anayekuwa weak zaidi yake anakula tu, kama vile masisiemu yakiona loose ball tu yanajipigia kama hayana ndugu wala jamaa mwenye shida, ndio pronciples za biology zinavyosema na ndio tunayaishi! Unafiriki wanaona haya au dhambi? Thubutuu
Ni philosophical tu haya mambo...
Endelea kuamini hivyo,siku ukija kujua landlord na tenant ni mbingu na duniamuda utakuwa umeenda sana.Wako kiwango kimoja kwa sababu mwenye duka anategemea mtu anunue na ndio lengo la kuweka duka
ni mwendo wa 50/50, yani ke + mashini ni pete na kiledo š¤Yaani hao na mbunye ni sawa na mgonjwa na uji
Kulala na mtu usie mpenda sio rahisi hata kidogo aiseeKabisa...yaani ukimuona mtu ana shida na wewe ndio unaona ni muda sahihi wa kupata ny.ge? Seriously ? Hayo mengine anayozungumzia ni exchange ya kawaida ambayo hailengi kutweza utu wa mtu. Imagine unalala na mtu ambaye huna feelings nae kisa huna hela ya kulipa kodi.
Hahaha mfano ungekuwa huna uhakika wa kupata hiyo hela yaan ile upo brok kabisa je Ungekubali?Wewe hunijui kabisa mimi
Na sitajielezea unataka nikuwekee ushahidi wa chatting?
Mimi ni jeuri wa kutupwa nikiamua jambo langu
Hahaha mfano ungekuwa huna uhakika wa kupata hiyo hela yaan ile upo brok kabisa je UngekubaliWewe hunijui kabisa mimi
Na sitajielezea unataka nikuwekee ushahidi wa chatting?
Mimi ni jeuri wa kutupwa nikiamua jambo langu
Inakuja naturally kwa mwanaume, kama mtu huna hofu ndani yako haya mambo yanakuja tu, kiumeni inakuwa hivyo, ngoja nimsaidie huyu mtu ila what do I get in return, hakuna bure duniani...hata wewe kuna vitu unafanya ili baadae upate malipo.Sawa sawa ila sio kwenye ngono
nina maoni tu nikishaingia jukwaani, mengineyo ni nje ya jukwaa šIla wewe leo una nini mdauš¤£š
Kwa leo tuishie hapa ila elewa hivyoHahaha mfano ungekuwa huna uhakika wa kupata hiyo hela yaan ile upo brok kabisa je Ungekubali?
NImejibu kulingana na ulivyouliza. Mwenye duka na mnunuzi ni sawa lakini hali ni tofauti kwa mpangaji na mwenye nyumbaEndelea kuamini hivyo,siku ukija kujua landlord na tenant ni mbingu na duniamuda utakuwa umeenda sana.
Huoni mtoa hoja hadi kapiga simu kutoa excuse ya malipo ya pango!? Na baba wa nyumba kapata chance ya kuomba mbunye!!
Jibu Huwa ni Moja ndiyo au hapana!!!Kulala na mtu usie mpenda sio rahisi hata kidogo aisee
Yaan hapa ni kama unasema ukisaidiq mtu lazima ulipwe fadhila sasa huo ni msaada?Inakuja naturally kwa mwanaume, kama mtu huna hofu ndani yako haya mambo yanakuja tu, kiumeni inakuwa hivyo, ngoja nimsaidie huyu mtu ila what do I get in return, hakuna bure duniani...hata wewe kuna vitu unafanya ili baadae upate malipo.
Hii ni tofauti kabisaMfano, namna tunavyoishi mtaani, unachangia msiba ili siku na wewe ukipata jana uchangiwe, unachangia harusi ili siku ukiozesha na wewe wakuchangie...
Hii imemiuma aiseeš¢Nimewahi kumiliki ofisi na kumla dada aliyekuwa anafanya hapo, nae alijitoa sana kwangu akijua nitampa privilege fulani, ila sio kweli. Unamla na ukimkinahi unatamani aondoke maana anakuletea giza tu. Tusamehewe kwa kurubuni mabnti wa watu ia ipo hivyo, sio bongo tu.
Nimeonanina maoni tu nikishaingia jukwaani,
Huko sijui maana sikujui mdaumengineyo ni nje ya jukwaa š
NimeelewaKwa leo tuishie hapa ila elewa hivyo
UrohoTAMAA