Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sasa mabikra wanaingiaje hapo loh!Hii n kwa mabikra tuu, sio nyie makurumbembe
Sasa mabikra wanaingiaje hapo loh!Hii n kwa mabikra tuu, sio nyie makurumbembe
pole sana mkuu! siku zote najua wewe ni Mr, kumbe Mrs sambade!Muda ukifika, unaitqji kujenga familia na mtu mmoja hivi bdiyo hivyo yakhe. Nikaangukia kwa yule jamaa
Imebidi niangalie uli join lini😅😅Hapana ujue kuna nyakati za shibe na nyakati za njaa, akiba ni muhimu, usimuue yusufu wako, bora umuweke gerezani atakusaidia baadaye
Siyo mbaya huwezi kujua kwa siku moja kila kitupole sana mkuu! siku zote najua wewe ni Mr, kumbe Mrs sambade!
Hahaha kwanini?Imebidi niangalie uli join lini😅😅
Sawa nitaanza kumuweka Yusuf gerezani
Hahaha kwaniniImebidi niangalie uli join lini😅😅
Sawa nitaanza kumuweka Yusuf gerezani
Basi tu unanishauri ki GenZ issue za kukata mti panda mti😅😅Hahaha kwanini?
Utakaaje mbali na mwanaume afu sio bikra?Sasa mabikra wanaingiaje hapo loh!
Ndio mzunguko wa maisha ulivyo kwa sasa, ukijifanya kumpenda mtu wakt yeye anakuona fursa utaumiaBasi tu unanishauri ki GenZ issue za kukata mti panda mti😅😅
Huwez kukimbia changamoto, kuzikimbia inaonyesha bado hujakomaa kiakili 😎Na wewe uko tayari kupambana na hizo changamoto hahaha
Uko vizuri sana, mwanzoni niliweza kukaa hivi kama wewe, zikianza mada za singo maza na wanawake tunaopenda pesa kupopolewa, sukari inapanda kwa kasi napanic sio kawaida,mpaka nikaumbuka mie loh! ikabidi nikubaliane na hali tu.. nilikuwa nishazoea vijana wananiita braza braza dahh!😕Siyo mbaya huwezi kujua kwa siku moja kila kitu
Ok okNdio mzunguko wa maisha ulivyo kwa sasa, ukijifanya kumpenda mtu wakt yeye anakuona fursa utaumia
Miye nipo hapa kitambo, yamepita mengi kuna baadhi ya watu humu tunawasiliana kwa mambo mbali mbali.Uko vizuri sana, mwanzoni niliweza kukaa hivi kama wewe, zikianza mada za singo maza na wanawake tunaopenda pesa kupopolewa, sukari inapanda kwa kasi napanic sio kawaida,mpaka nikaumbuka mie loh! ikabidi nikubaliane na hali tu.. nilikuwa nishazoea vijana wananiita braza braza dahh!😕
Utakaaje mbali na mwanaume afu sio bikra?
Kama sio bikra n kwamba ukikubali mwanaume awe karibu yako hadi katikati ya mapaja ndio mana sio bikra 😎
Uko vizuri mkuu! Ni ngumu mtu kukutambua hii nimeipenda sana..Miye nipo hapa kitambo, yamepita mengi kuna baadhi ya watu humu tunawasiliana kwa mambo mbali mbali.
Tutakuwa watano kwako, ila kwangu mm pia ntakuwa na wangu mmoja ambaye sio ww 😎
Usimchanie kanzu yake yusufuImebidi niangalie uli join lini😅😅
Sawa nitaanza kumuweka Yusuf gerezani
Tatizo tukiwasaidia naninyi mnajilegeza sana mnataka tufanyeje?Wanaume wanaona ni haki yao kupewa uke kama ahsante. Na hilo ndio tatizo kubwa lipo toka enzi za mababu na mabibi.
Muhimu kusimamia misimamo yako kama hutaki kataa linda utu wako..!!