K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Feb 19, 2024 #1 Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,523 Feb 19, 2024 #2 Naweka kambi, nitakuwa nakuja kuchungulia madini ya wataalamu.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Feb 19, 2024 #3 Mbona matatizo ya figo yapo hata huko majuu ambako hawatumii miti shamba?
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Feb 20, 2024 #4 Kitu chochote hata chakula ukikipeleka visivyo (dozi,kiasi) kinaweza athiri viungo vyya mwili Figo moyo nk
Kitu chochote hata chakula ukikipeleka visivyo (dozi,kiasi) kinaweza athiri viungo vyya mwili Figo moyo nk
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Feb 20, 2024 #5 It's exactly. Maana kanda ile inayoongoza kupiga nyungu ndiyo inayoongoza kwa wagonjwa wa figo
B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Feb 20, 2024 #6 kajaribu baadae tuone kama kweli
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Feb 20, 2024 #7 Wamasai na Wahazabe wangekuwa wanaongoza kwa magonjwa ya figo...