johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake.
Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao wametumbua na kukerehesha wengi , je wataendelea na mzuka ule ule?
Au watabadili voco kulingana na mirindimo?
Yetu macho na masikio.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!