Mzee alitoa room sana kwa vijana na alitu inspire sana hakuwa mtu wa connection wala classes hapo ndio alishika mioyo ya watu ndio mana unaona kuna Prominent Figures Kibao tu wame groom kipindi ichi cha The Late JPM watu kama Kabudi au Mpango au Ndalichako wanakili bila JPM hizo nafasi wasingefika, Magu ana mapungufu yake kama binadamu ila he was the best kwa kweli yeye akiona tu una potential basi hasiti kukupa room regardless financial au Influence yako tofauti na enzi za Mkwere ambapo kila ulaji ulikuwa ni Connection na influence, Nina washikaji zangu ambao hawakuwa na connection yoyote ile ila katika utawala huu wamepenya kwenye super institutions za Nchi kama Hazina, BOT, Ikulu,Ofisi ya CAG Kwa keli Mzee tutamkumbuka ukiachilia ilo je ni vijana wangapi wamekuwa employed na mifumo ambayo ameanzisha yeye kama Ajira utumishi, Eeh baba nenda ila still utabaki kwenye mioyo yetu Milele