johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzaha siyo mzaha by Dr Kigwangalla!Wanafiki wataishi kwa tabu sana kuanzia sasa! Tunataka viongozi wenye busara na watendaji!! Siyo Ma comedians na mikwara mingi kama ilivyozoeleka ndani ya utawala wa magufuli.
Ccm ni sehemu ya kuzalisha wahuni na wasiyo thamini utu kabisa.Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake.
Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao wametumbua na kukerehesha wengi , je wataendelea na mzuka ule ule?
Au watabadili voco kulingana na mirindimo?
Yetu macho na masikio.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kina Musiba na mwenzake wa hai lazima watakuwa wamezimia kabisaIla huu msiba umekatisha ndoto za vijana wengi walamba nyayo wazee wa kujipendekeza wengi awamu hii walichukua fomu za kugombea na kusubiri teuzi. Sasa inaingia circle nyingine chain nyingine.
Hapo tatizo lilikuwa kwa mteuzi wao maana alikuwa anafirahia utendaji waoAwesso apewe unaibu waziri, alidhalilisha Sana nafasi ya uwaziri.Uwaziri ni kazi ya umma ukipewa lazima uiheshimu...
Kwahiyo Pascal Mayalla anasubiri teuzi?Ila huu msiba umekatisha ndoto za vijana wengi walamba nyayo wazee wa kujipendekeza wengi awamu hii walichukua fomu za kugombea na kusubiri teuzi. Sasa inaingia circle nyingine chain nyingine.
Na mzee wa nyungu? Yaani ukiwa kijana halafu mganga wa kienyeji ina keraAwesso apewe unaibu waziri, alidhalilisha Sana nafasi ya uwaziri.Uwaziri ni kazi ya umma ukipewa lazima uiheshimu...
Kweli johnthebaptist wewe ndo wa kuandika haya leo??! Ni nini lakini??Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake.
Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao wametumbua na kukerehesha wengi , je wataendelea na mzuka ule ule?
Au watabadili voco kulingana na mirindimo?
Yetu macho na masikio.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
No nazungumzia kuna vijana hadi wali risk mishahara yao kwa miezi kadhaa kisa kujihusisha na shughuli za siasa kwamba hata wasipopitishwa na wajumbe basi majina yao yatakumbukwa hasa ukizingatia utawala wa magufuli ulikuwa ni wa tumbua tumbuaKwahiyo Pascal Mayalla anasubiri teuzi?
Acha hizo wewe!
Bwashee nimeuliza tu !Kweli johnthebaptist wewe ndo wa kuandika haya leo??! Ni nini lakini??
Kwa jinsi mlivokuwa very active kipindi cha JPM nilijua mnajuaga kila kitu aisee...!!Bwashee nimeuliza tu !
CCM ni chama kikubwa tutaendelea kuwa active!Kwa jinsi mlivokuwa very active kipindi cha JPM nilijua mnajuaga kila kitu aisee...!!
Always be very careful when you follow the masses... Often M is missing or very silent...CCM ni chama kikubwa tutaendelea kuwa active!