Je, mawaziri Jaffo na Aweso wataendelea na mikwara ile ile ya kutumbua na kufokea watendaji hadi wanazimia?

Angalizo Angalizo walisha zoweaga kusifia sana adi wakati mwingine kufanya kufuru sasa wasije teleza ulimi wakaanza kusifia Kifua cha Mama!
Mfano yani Mama wewe kifua chako kama cha malaika! Kangi lugola ana ji set huko!
 
UFIPA tulieni mpira ndio kwanza unapelekwa kati.

timu iliyo nyuma kwa matokeo ndio ina kadi nyekundu mbili.
 
Kinachoniumiza ni kuhusu vijana wengi walianza kuingia kwenye siasa tena ccm kwa sababu mzee alikua anawapa nafasi sana bila kuangalia connection sijui wa tabaka gani?? Alikua fair sana kwa saivi siombei ila naona kabisa hawana nafasi tena kilichobaki warudi Bavicha kwa kasi.
 
Mzee alitoa room sana kwa vijana na alitu inspire sana hakuwa mtu wa connection wala classes hapo ndio alishika mioyo ya watu ndio mana unaona kuna Prominent Figures Kibao tu wame groom kipindi ichi cha The Late JPM watu kama Kabudi au Mpango au Ndalichako wanakili bila JPM hizo nafasi wasingefika, Magu ana mapungufu yake kama binadamu ila he was the best kwa kweli yeye akiona tu una potential basi hasiti kukupa room regardless financial au Influence yako tofauti na enzi za Mkwere ambapo kila ulaji ulikuwa ni Connection na influence, Nina washikaji zangu ambao hawakuwa na connection yoyote ile ila katika utawala huu wamepenya kwenye super institutions za Nchi kama Hazina, BOT, Ikulu,Ofisi ya CAG Kwa keli Mzee tutamkumbuka ukiachilia ilo je ni vijana wangapi wamekuwa employed na mifumo ambayo ameanzisha yeye kama Ajira utumishi, Eeh baba nenda ila still utabaki kwenye mioyo yetu Milele
 
😁😁😁😁
 
Umemsahau Dr. Gwajima Waziri wa Afya ,naye kaingia kwa makeke sana kama alivyokuwa Kangi Lugola.
 
Mwandiko wako unaonesha una ka tamaa na ka ubinafsi flani. Halafu unapenda ofisi kubwa kubwa ili ukapige hela
 
Kukosa ufahamu, maarifa na hekima za Kiuongozi taabu sana. Hawa wote uliowataja na usiowataja wa aina hiyo ni wanafiki wakubwa! Wataji comouflage kuendana na staili za mfalme mpya!
 
Hivi Magonjwa Mtumbuka ndo Kijazi au Magu mwenyewe mbona katoweka na msiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…