Je, Mayai ya kuchemsha yananenepesha?

karanga zina mafuta vitu km kashata ndio kabisa kuna sukar ba karanga ivo kwenye karanga bro umezingua ila apo kwenye mayai ya kuchemsha mmh na maziwa kizungumkuti.
Usiyale kila siku mfululizo,ikishindikana kabisa kula Mara mbili tu kwa wiki, usizidishe.
 
bro asante kwa maelezo yalioenda shule inaonekana una utaalamu namambo ya chakula hv protein inanenepesha
Protein ni nzuri kwa ajili ya mifupa na misuli. Na pia digestion yake ni slow compared to carbohydrates. Ndio maana watu wanaotaka kushusha uzito wanashauriwa kula proteins kwa wingi kwa sababu kwanza ni building blocks, pili, wanakaa muda mref bila kuskia njaa na tatu hazileti mwili kujaa
 
Ila kuna mateso hapa duniani! Aise!
achana nae anazungumza vitu impossible eti ukae siku mbilitatu bila kula utasema umepotea jangwan afu then unywe maji tu lazima utapike si tunataka kukonda kwa raha na sio mateso unakunuwa chai yko na asali baadae unakula matunda unakunywa maziwa unakonda safi kabisa tena afya inaimarika
 
apo nimekupata mkuu vp kuhisu maziwa
 
Ila wakati mwingine bhana Nafsi ikiridhika utafanya Diet, Mazoezi ila unene bado unakuandama tu
 
ugali unanenepesha aisee hii si ni sqwq na kusema mahind yananenepesha fafanua mkuu ugali umeingiaje apo
 
Kila siku asubuhi na jioni kunywa maji ya vuguvugu ambayo ni juisi ya limao na tangawizi ( glass moja asubuhi na moja jioni) kitambi kitayeyuka kama
Nta kwenye moto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu hamna product ambayo ipo madukan maana wengine mda wq kutengenezq io juis hatuna
 
mkuu hamna product ambayo ipo madukan maana wengine mda wq kutengenezq io juis hatuna
Mkuu hebu nikusaidie ushauri maana mimi nilikuwa mnene ila nilifanikiwa kwa njia ya mtindi plain ambao ni low fat na punje 5 hadi 7 za vitunguu swaumu

Una kilo ngapi kwa sasa na una urefu wa sm ngapi?
 
Nenda kakope bank dhamana weka nyumba yako unayoishi
 
Kunywa maji ya uvuguuvugu kwa miezi mitatu mfulilizo,usile viporo wala vitu baridi.
Utanipa mrejesho.
 
Mayai hayana carbs, yana protein nyingi lak shida yake pia yana cholestrol kwa kias kikubwa. So, hayanenepeshi, na ni a good source of protein lakn inashauriwa kula at least 2 tu kwa siku kwa sababu cholestrol ikiwa juu sana sio nzuri kwa moyo
Yai moja kila baada ya siku mbili walau
 
Mkuu hebu nikusaidie ushauri maana mimi nilikuwa mnene ila nilifanikiwa kwa njia ya mtindi plain ambao ni low fat na punje 5 hadi 7 za vitunguu swaumu

Una kilo ngapi kwa sasa na una urefu wa sm ngapi?
Mkuu mimi nina uzito wa kg83 urefu 6'2" ila hizo kilo nahitaji zipungue nifanye kitu gani zishuke walau nibaki na70kg
 
Me mwezi uliopita nlikua na kilo94
Nimeanza ratiba ya kunywa bamia asubuhi chai nimeondoa,mchana nakula wali maharage,usiku wali maharage pia natembea saa nzima ikiwemo kupanda mlima nusa saa
 
Boss umesoma shuls gani?? Mbona darasa la tano kwenye sayansi wanfundisha kabsa aina zote za vyakula na vyakula vinavyojenga mwili ni protin na nyama maziwa vipo kwenye kundi la protin na ww unasema ale nyama(protin ili kupunguza mwili) UNAPOTOSHA
 
Me mwezi uliopita nlikua na kilo94
Nimeanza ratiba ya kunywa bamia asubuhi chai nimeondoa,mchana nakula wali maharage,usiku wali maharage pia natembea saa nzima ikiwemo kupanda mlima nusa saa
Sasa una kg ngapi?
 
Siyo kwamba asiguse sukari Bali atumie sukari kwa kiwango kidogo kinachoruhusiwa kwa siku vijiko viwili vya chai, makundi ya vyakula yote ni muhimu ukiacha hata kimoja unaharibu afya, mfano bila sukari huwezi kupata nguvu Sasa unataka akonde huku akiondoa nguvu mwilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…