sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwana Simba baada ya kula Mayai ya kuchemsha[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2375434
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwana Simba baada ya kula Mayai ya kuchemsha[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2375434
Ila kuna mateso hapa duniani! Aise!It is simpler usipokula kabisa. Funga masaa 48-72 then kula hayo matunda yako kidogo ila usile yenye sukari/wanga then funga tena.
Kwa wiki kula milo mitatu maximum minne.
Usiyale kila siku mfululizo,ikishindikana kabisa kula Mara mbili tu kwa wiki, usizidishe.karanga zina mafuta vitu km kashata ndio kabisa kuna sukar ba karanga ivo kwenye karanga bro umezingua ila apo kwenye mayai ya kuchemsha mmh na maziwa kizungumkuti.
Protein ni nzuri kwa ajili ya mifupa na misuli. Na pia digestion yake ni slow compared to carbohydrates. Ndio maana watu wanaotaka kushusha uzito wanashauriwa kula proteins kwa wingi kwa sababu kwanza ni building blocks, pili, wanakaa muda mref bila kuskia njaa na tatu hazileti mwili kujaabro asante kwa maelezo yalioenda shule inaonekana una utaalamu namambo ya chakula hv protein inanenepesha
achana nae anazungumza vitu impossible eti ukae siku mbilitatu bila kula utasema umepotea jangwan afu then unywe maji tu lazima utapike si tunataka kukonda kwa raha na sio mateso unakunuwa chai yko na asali baadae unakula matunda unakunywa maziwa unakonda safi kabisa tena afya inaimarikaIla kuna mateso hapa duniani! Aise!
apo nimekupata mkuu vp kuhisu maziwaProtein ni nzuri kwa ajili ya mifupa na misuli. Na pia digestion yake ni slow compared to carbohydrates. Ndio maana watu wanaotaka kushusha uzito wanashauriwa kula proteins kwa wingi kwa sababu kwanza ni building blocks, pili, wanakaa muda mref bila kuskia njaa na tatu hazileti mwili kujaa
ugali unanenepesha aisee hii si ni sqwq na kusema mahind yananenepesha fafanua mkuu ugali umeingiaje apoKinachonenepesha Kwa haraka ni vyakula vya Wanga.
Protein sio Sana.
Maziwa, nyama, Samaki, maziwa havinenepeshi kwa haraka.
Wanga ndio inanenepesha Kwa haraka.
Wali, ugali, mihogo, ngano,
Bia na Aina zote za pombe zinazozalishwa na ngano pamoja na nafaka
mkuu hamna product ambayo ipo madukan maana wengine mda wq kutengenezq io juis hatunaKila siku asubuhi na jioni kunywa maji ya vuguvugu ambayo ni juisi ya limao na tangawizi ( glass moja asubuhi na moja jioni) kitambi kitayeyuka kama
Nta kwenye moto
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu nikusaidie ushauri maana mimi nilikuwa mnene ila nilifanikiwa kwa njia ya mtindi plain ambao ni low fat na punje 5 hadi 7 za vitunguu swaumumkuu hamna product ambayo ipo madukan maana wengine mda wq kutengenezq io juis hatuna
Nenda kakope bank dhamana weka nyumba yako unayoishiHabari wadau
Ndugu yenu nipo kwenye diet ili nipunguze unene sasa kwa mujibu wa watu ili nikonde wameniambia inabid nisle vyakula vya mafuta, chumvi, sukari, protini na wanga yani vitu km karanga, soda, biskuti, chocolate nk siwez kuiviorodhesha vyote apo ili mradi kisiwe na ingridient ya vitu tajwa apo juu na badala yake nile vitu kam matunda maji nk
sasa naomba kuuliza maziwa fresh au mtind nisipoweka sukar yananenepesha?
Je, mayai ya kuchemsha nisipoweka chumvi yananenepesha?
Yai moja kila baada ya siku mbili walauMayai hayana carbs, yana protein nyingi lak shida yake pia yana cholestrol kwa kias kikubwa. So, hayanenepeshi, na ni a good source of protein lakn inashauriwa kula at least 2 tu kwa siku kwa sababu cholestrol ikiwa juu sana sio nzuri kwa moyo
Mkuu mimi nina uzito wa kg83 urefu 6'2" ila hizo kilo nahitaji zipungue nifanye kitu gani zishuke walau nibaki na70kgMkuu hebu nikusaidie ushauri maana mimi nilikuwa mnene ila nilifanikiwa kwa njia ya mtindi plain ambao ni low fat na punje 5 hadi 7 za vitunguu swaumu
Una kilo ngapi kwa sasa na una urefu wa sm ngapi?
Boss umesoma shuls gani?? Mbona darasa la tano kwenye sayansi wanfundisha kabsa aina zote za vyakula na vyakula vinavyojenga mwili ni protin na nyama maziwa vipo kwenye kundi la protin na ww unasema ale nyama(protin ili kupunguza mwili) UNAPOTOSHAUsiguse SUKARI kabisa nasisitiza usiguse ndani ya mwezi mmoja iwe kwenye chai soda au juice acha sukari...usiguse chakula chochote kilokaangwa kwenye mafuta mengi, kula protini Kwa wingi ikiwemo mayai, karanga n.k. hii itakufanya ujiskie umeshiba muda mwingi hivo utaepuka kutafuna tafuna hovyo......hakikisha unatembea hatua 10000 Kila siku, ni kama six kilometre hivi. Kunywa maji mengi. Fanya hivi mwezi mmoja utapungua more than 15 kg. Kama hutaweza endelea na lifestyle unayoishi yakukute ya kukukuta.,
Naona unataka kubaki kua ngongoti.Mkuu mimi nina uzito wa kg83 urefu 6'2" ila hizo kilo nahitaji zipungue nifanye kitu gani zishuke walau nibaki na70kg
Sasa una kg ngapi?Me mwezi uliopita nlikua na kilo94
Nimeanza ratiba ya kunywa bamia asubuhi chai nimeondoa,mchana nakula wali maharage,usiku wali maharage pia natembea saa nzima ikiwemo kupanda mlima nusa saa
Siyo kwamba asiguse sukari Bali atumie sukari kwa kiwango kidogo kinachoruhusiwa kwa siku vijiko viwili vya chai, makundi ya vyakula yote ni muhimu ukiacha hata kimoja unaharibu afya, mfano bila sukari huwezi kupata nguvu Sasa unataka akonde huku akiondoa nguvu mwilini?Usiguse SUKARI kabisa nasisitiza usiguse ndani ya mwezi mmoja iwe kwenye chai soda au juice acha sukari...usiguse chakula chochote kilokaangwa kwenye mafuta mengi, kula protini Kwa wingi ikiwemo mayai, karanga n.k. hii itakufanya ujiskie umeshiba muda mwingi hivo utaepuka kutafuna tafuna hovyo......hakikisha unatembea hatua 10000 Kila siku, ni kama six kilometre hivi. Kunywa maji mengi. Fanya hivi mwezi mmoja utapungua more than 15 kg. Kama hutaweza endelea na lifestyle unayoishi yakukute ya kukukuta.,