Ditex
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 284
- 887
Mkuu una kg ngapi sasa hvsamaki wana mafuta mkuu fish oil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una kg ngapi sasa hvsamaki wana mafuta mkuu fish oil
Nafikiri jibu nimeshalipa mkuu [emoji23][emoji23] shukran[emoji120]Naona unataka kubaki kua ngongoti.
Asante mkuuWenye kisukari Wana sukari yao, diet nikupunguza kula sana yaani position ya chakula na siyo kupunguza makundi ya vyakula, wale wanaotumia protein nyingi kwa muda Fulani ni body builder maana protein inajenga mwili Sasa ukitaka nyama zihamie sehemu flani ndo unatumia protein huku ukizifanyia mazoezi zihamie hiyo sehemu ila Kuna protein nyingi Kila sehemu Kuna protein yake mfano protein ya kujenga nyama siyo protein ya kuzipa afya nywele.