Je, Mayele anatumika kama Agent Provocateur?

Vipi yale majini mliyoyachoma mubashara pale south Africa yalikua ya kazi gani masta manake mlifuka nyie.
Tumuulize mayele kwanza. Katupiwa jini gani.maana mayele sio chizi yule
 
Lakini Mayele si alikuwa kipenzi cha wananchi? Kwa nini atumike kama 'Agent Provocateur'? Kwa nini madai yake yasisikilizwe ila ya wananchi ndio yasikilizwe?
Katika kusikilizwa anasikilizwa kwa namna anavyotaka

Swala lampira ili asikilizwe angependa cas, lakini analifanyia mtandaoni acha na maraia wamjibu huko. Hili swala wanasimba wanaleta ushabiki ila leo kwa yanga kesho simba. Waseme ukweli mchezaji professionals huwezi kwenda hivi ameanza kuharibu CV zake
 
... Hili swala wanasimba wanaleta ushabiki ila leo kwa yanga kesho simba. Waseme ukweli mchezaji professionals huwezi kwenda hivi ameanza kuharibu CV zake
Uhusika wa Simba ni kuchochea tu, na yasingeibuka haya wasingekuwa na jambo la kuchochea kuyahusu. Kwa lugha nyingine nyepesi, Simba wanashadadia kwa kuwa kuna sintofahamu katika Yanga kati ya klabu na aliyekuwa mchezaji wao kipenzi. Ili Simba wakose ishu ya kushadadia, Yanga na Mayele wayamalize
 
Kama wana ambiwa WhatsApps channel ni mafanikio wanapiga makofi akili watatoa wapi
 
Lakini Mayele si alikuwa kipenzi cha wananchi? Kwa nini atumike kama 'Agent Provocateur'? Kwa nini madai yake yasisikilizwe ila ya wananchi ndio yasikilizwe?
Unganisheni nguvu kama kipindi kile cha Feisal anahitaji support yenu
 
Acheni kumtumia majini na yeye atanyamaza.Inatumika nguvu kubwa sana kumjibu Mayele wakati wangeacha tu kumtumia majini na yeye pia angeacha.
Mnapozidi kukanusha na huku mnamtumia majini na yeye anajibu mapigo.
 
Huyo Meneja wa Mayele si ndiye huyo wa Fei Toto.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako!
 
Vipi yale majini mliyoyachoma mubashara pale south Africa yalikua ya kazi gani masta manake mlifuka nyie.
Sisi tulikuwa tunasali ibada ya kivyetu😁. Nyie mnamtumia mchezaji specific majini...Watu wa hovyo kabisa🤣🤣
 
Msikate tamaa endeleeni hivyo hivyo
Ili muendelee kumroga vizuri.hayo sio maisha. Mayele hakukosea kucheza tanzania amekosea kuchagua timu ya kuchezea.maamuzi yake ya kucheza tanzania yalikuwa sahihi sana.shida timu alifeli kuchagua.
 
Kwanini mnamtumia majini,tuanzie hapo.
 
Mayele kajiropokea tu, na vipi nyie tulioshuhudia live mkichoma majini yenu pale South Africa au ndio majini wazuri anaosema msemaji wenu.
Nje ya mada,hapa hoja majini mliyomtupia Mayele, wacheni roho mbaya.
 
Jini subiani 😂😂😂😂😂😂
 
Mayele aliyataka mwenyewe. Hayo majini yalimsaidia akiwa hapa tz tumehangaika naye sana kumfanya awe vile. Baadaye anaanza kujiona yeye ni wa maana zaidi. Sasa tunamwonesha... Na bado hajasema.
 
Kauli zako zinaonyesha majini mnayo ingekuwa hayapo ungepotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…