mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tumuulize mayele kwanza. Katupiwa jini gani.maana mayele sio chizi yuleVipi yale majini mliyoyachoma mubashara pale south Africa yalikua ya kazi gani masta manake mlifuka nyie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuulize mayele kwanza. Katupiwa jini gani.maana mayele sio chizi yuleVipi yale majini mliyoyachoma mubashara pale south Africa yalikua ya kazi gani masta manake mlifuka nyie.
Katika kusikilizwa anasikilizwa kwa namna anavyotakaLakini Mayele si alikuwa kipenzi cha wananchi? Kwa nini atumike kama 'Agent Provocateur'? Kwa nini madai yake yasisikilizwe ila ya wananchi ndio yasikilizwe?
Uhusika wa Simba ni kuchochea tu, na yasingeibuka haya wasingekuwa na jambo la kuchochea kuyahusu. Kwa lugha nyingine nyepesi, Simba wanashadadia kwa kuwa kuna sintofahamu katika Yanga kati ya klabu na aliyekuwa mchezaji wao kipenzi. Ili Simba wakose ishu ya kushadadia, Yanga na Mayele wayamalize... Hili swala wanasimba wanaleta ushabiki ila leo kwa yanga kesho simba. Waseme ukweli mchezaji professionals huwezi kwenda hivi ameanza kuharibu CV zake
Kama wana ambiwa WhatsApps channel ni mafanikio wanapiga makofi akili watatoa wapiKlabu ya mpira wa miguu kazi yake kubwa ni kutwaa Mataji ayo mambo mengine ni upepo wa kujaribu kuwa hamisha kwenye focus.
Mbumbumbu Fc wataongea watanyamaza, viongozi wa Yanga wao wajibu kwa mafanikio ya ndani ya uwanja na nje ya uwanja iyo ndio dawa ya wapiga domo.
Msikate tamaa endeleeni hivyo hivyoMashabiki wa simba huku mtaani tunapewa lawama.kuwa tunamchochea mayele.mayele kasema ukweli wake.
Unganisheni nguvu kama kipindi kile cha Feisal anahitaji support yenuLakini Mayele si alikuwa kipenzi cha wananchi? Kwa nini atumike kama 'Agent Provocateur'? Kwa nini madai yake yasisikilizwe ila ya wananchi ndio yasikilizwe?
Sisi tulikuwa tunasali ibada ya kivyetu😁. Nyie mnamtumia mchezaji specific majini...Watu wa hovyo kabisa🤣🤣Vipi yale majini mliyoyachoma mubashara pale south Africa yalikua ya kazi gani masta manake mlifuka nyie.
Ili muendelee kumroga vizuri.hayo sio maisha. Mayele hakukosea kucheza tanzania amekosea kuchagua timu ya kuchezea.maamuzi yake ya kucheza tanzania yalikuwa sahihi sana.shida timu alifeli kuchagua.Msikate tamaa endeleeni hivyo hivyo
Kwanini mnamtumia majini,tuanzie hapo.Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa wakati huo kwa lengo la kufanya watu kutoelewana.
Kwanini Mayele
Ukiangalia mwezi huu Yanga walikua na mambo mazuri mengi sana japokua hata mabaya nayo yalikuwepo, baadhi ya mambo mazuri kwa Yanga ni kama vile.
- Miaka 89 ya siku yao ya kuzaliwa.
- Ahadi ya Gsm Kujenga Yanga Arena
- Kupata ushindi kwenye gemu zao za ndani na nje.
- Kuingia mikataba minono na Agha Khan Hospital pamoja na Benki ya Nmb ile ishu yao ya kadi ya milioni 1.
Ukiangalia hayo yote ni mema kwa yanga kwani yanga wakitulia na kuweza kufanya hayo hakika watakua timu bora sana na haya yote yanafanywa chini ya Rais mwenye maono Eng Hersi Said.
I want to tell Yanga fans hakika mkimpoteza huyu mwamba mtarudi miaka 20 nyuma, Hersi Said anaipenda Yanga kama timu yake lakini tambueni either nje au ndani ya Yanga kuna watu hawamtaki huyu mwamba kwa misimamo yake dhabiti kwenye kuendesha timu ya Yanga kisasa.
Mayele anaweza kuwa Agent Provocateur anayetumika either na watu wa nje au ndani ya mfumo wa Yanga jiulize kwanini ashambulie viongozi ishu ni ndogo tu ukishambulia viongozi means na Rais wa Yanga yupo ndani mwake huyu jamaa ni hatari sana kwa afya ya Simba waulize kuhusu zile 5, pia kwenye mfumo wa mpira wetu jamaa ni tishio kwa kifupi wazee wa 10% hawampendi.
Mayele ameibuka kipindi Yanga ikiwa na matukio yake muhimu ya kitaifa na kimataifa kwanini hakuibuka wakati Afcon inaanza hivi kweli Mayele huyu huyu ni wa kumweka benchi Bongonda, Wisa au Cedric Bakambu jibu ni hapana.
Mayele alikuja kama mchezaji professional ila baada ya kujifunza uswahili wa Kitanzania akakosa busara na kuanza kuropoka hovyo.
Wanayanga mzidi kujipanga kwa gemu zijazo ni kawaida kwa timu kubwa kushambuliwa haya ya Mayele yasiwatoee mchezoni kabisa.
Nje ya mada,hapa hoja majini mliyomtupia Mayele, wacheni roho mbaya.Mayele kajiropokea tu, na vipi nyie tulioshuhudia live mkichoma majini yenu pale South Africa au ndio majini wazuri anaosema msemaji wenu.
Jini subiani 😂😂😂😂😂😂Klabu ya mpira wa miguu kazi yake kubwa ni kutwaa Mataji ayo mambo mengine ni upepo wa kujaribu kuwa hamisha kwenye focus.
Mbumbumbu Fc wataongea watanyamaza, viongozi wa Yanga wao wajibu kwa mafanikio ya ndani ya uwanja na nje ya uwanja iyo ndio dawa ya wapiga domo.
Mayele aliyataka mwenyewe. Hayo majini yalimsaidia akiwa hapa tz tumehangaika naye sana kumfanya awe vile. Baadaye anaanza kujiona yeye ni wa maana zaidi. Sasa tunamwonesha... Na bado hajasema.Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa wakati huo kwa lengo la kufanya watu kutoelewana.
Kwanini Mayele
Ukiangalia mwezi huu Yanga walikua na mambo mazuri mengi sana japokua hata mabaya nayo yalikuwepo, baadhi ya mambo mazuri kwa Yanga ni kama vile.
- Miaka 89 ya siku yao ya kuzaliwa.
- Ahadi ya Gsm Kujenga Yanga Arena
- Kupata ushindi kwenye gemu zao za ndani na nje.
- Kuingia mikataba minono na Agha Khan Hospital pamoja na Benki ya Nmb ile ishu yao ya kadi ya milioni 1.
Ukiangalia hayo yote ni mema kwa yanga kwani yanga wakitulia na kuweza kufanya hayo hakika watakua timu bora sana na haya yote yanafanywa chini ya Rais mwenye maono Eng Hersi Said.
I want to tell Yanga fans hakika mkimpoteza huyu mwamba mtarudi miaka 20 nyuma, Hersi Said anaipenda Yanga kama timu yake lakini tambueni either nje au ndani ya Yanga kuna watu hawamtaki huyu mwamba kwa misimamo yake dhabiti kwenye kuendesha timu ya Yanga kisasa.
Mayele anaweza kuwa Agent Provocateur anayetumika either na watu wa nje au ndani ya mfumo wa Yanga jiulize kwanini ashambulie viongozi ishu ni ndogo tu ukishambulia viongozi means na Rais wa Yanga yupo ndani mwake huyu jamaa ni hatari sana kwa afya ya Simba waulize kuhusu zile 5, pia kwenye mfumo wa mpira wetu jamaa ni tishio kwa kifupi wazee wa 10% hawampendi.
Mayele ameibuka kipindi Yanga ikiwa na matukio yake muhimu ya kitaifa na kimataifa kwanini hakuibuka wakati Afcon inaanza hivi kweli Mayele huyu huyu ni wa kumweka benchi Bongonda, Wisa au Cedric Bakambu jibu ni hapana.
Mayele alikuja kama mchezaji professional ila baada ya kujifunza uswahili wa Kitanzania akakosa busara na kuanza kuropoka hovyo.
Wanayanga mzidi kujipanga kwa gemu zijazo ni kawaida kwa timu kubwa kushambuliwa haya ya Mayele yasiwatoee mchezoni kabisa.
Mimi nashangaa mnaishambulia Simba badala ya wachezaji wenu mlioachana nao wanaotamka maneno mabaya kuhusu timu yenuUnganisheni nguvu kama kipindi kile cha Feisal anahitaji support yenu