EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ingependeza thread yako ingeanza na angalizo la kuwa ukiwa CCM huendi mbinguni kisha ndio ungeendelea na mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umeelewa lakini nilichouliza?
We mbona haujathibitisha Kama mbinguni kupo?Unakuwa mpuuzi zaidi kuandika juu ya jambo ambalo huwezi kulithibitisha. Swali rahisi sana ambalo huwezi kulijbu ni Kutuambia sisi umejuaje kama hakuna mbinguni ? Hili ni swali rahisi ambalo mpaka unakufa huwezi kulijibu.
Mimi ukiweza tu kuniambia umejuaje,hakuna Mbinguni, mimi hii ID nitaomba uongozi wa "jf",waifute na wewe utakuwa shahidi.
Unataka uthibitishiwe mara ngapi juu ya kuwepo "Mbinguni" ? Kama unakubali Mbingu ipo basi na Mbinguni kupo, kama ilivyo "Ardhi" na "Ardhini".
Aliyeanza kusema kuwa mbingu ipo ndio anatakiwa aanze kuthibitisha sio aliyekataaUnakuwa mpuuzi zaidi kuandika juu ya jambo ambalo huwezi kulithibitisha. Swali rahisi sana ambalo huwezi kulijbu ni Kutuambia sisi umejuaje kama hakuna mbinguni ? Hili ni swali rahisi ambalo mpaka unakufa huwezi kulijibu.
Mimi ukiweza tu kuniambia umejuaje,hakuna Mbinguni, mimi hii ID nitaomba uongozi wa "jf",waifute na wewe utakuwa shahidi.
Unataka uthibitishiwe mara ngapi juu ya kuwepo "Mbinguni" ? Kama unakubali Mbingu ipo basi na Mbinguni kupo, kama ilivyo "Ardhi" na "Ardhini".
Hivi umeelewa lakini nilichouliza?
unaongeleaje kitu kama hakipo?Nitakuwa mpuuzi wa mwisho kukuthibitishia kitu ambacho hakipo huku nyinyi mnaosema kipo hamjakithibitisha kuwa kipo..!
So ndugu usiumize Sana kichwa fata njia yako tu.
Aliyeanza kusema kuwa mbingu ipo ndio anatakiwa aanze kuthibitisha sio aliyekataa
Mfano ukija ukaniambia nyumbani kwako Kuna joka na Mimi sijawahi kuona wewe ndio unatakiwa unithibitishie Sababu wewe ndiye uliyeanza
Anayedai mbingu ipo ndio anatakiwa atuambie ni nini, na anatuthibitishiaje hiyo mbingu kuwa ipo?Mbinguni ni nini ...tuanzie hapo..manake unaongeleaje kama kitu hakipo
Mkuu umenihamasisha kufanya dhambi. Ila Mimi ninachojua ukifa mbuzi unazaliwa mtu, ukifa mtu unazaliwa kuku. Kwahiyo ukute wewe kabla hujaziliwa ulikuwa nguruwe.Sijui niwe mchungaji tu maana naona inalipa sana hii biashara!.. unawezaje kuamini kuwa kuna mbinguni..[emoji28]
Ati utapewa vimwana! How..?
Ati Simba na chui watakuwa kama ng'ombe tu! How..?
Ati kutakuwa na maakuli hivyo na kukata gogo kutakuwepo Sasa..[emoji23]
Mkuu Kama unafikiri huko mbinguni ni salama futa hilo wazo maana huu ubaya tunaouita ubaya hapa duniani,kwa mujibu wa vitabu husika uasi ama ubaya ulianzia hukohuko unapopaita mbinguni!! Na chaajabu aliesema anakupenda ndio huyohuyo aliemtupa shetani duniani!!.
He he! Ndugu achana na hizo theory hakuna Cha mbinguni wala motoni ukifa ndo kwisha habari yako!.. hizi habari ni sehemu tu ya evolution of man!.. huko mbeleni sana watakuja kutusoma historia yetu ya Sasa kuwa tulikuwa tukiomba na kuabudu na kuamini kuna mbinguni na peponi!!..
Wewe ni Kama kabla ya kuzaliwa tu hukuwepo na baadae ukawepo na Kisha utakufa it means hali ya kutokuwepo inajirudia tena so hakuna cha mbingu wala mbangu au mbinguana!! Chagua tu kuishi kiuweledi kwa kufuata misingi ya ufahamu lkn usihofu kuhusu mbinguni nothing huko ni ku collapse kwa ufahamu wa mwanadam tu na kutokujua what is what ndio maana anatapatapa!.
Kila unacho kiona hapa dunuani, kipo na mbinguni ila in purity form na ni cha milele kinakuwa hakina mwisho..Je, mbinguni ambapo tunaahidiwa kutakua na perfect life, hakuna kifo, hakuna kulia, hakuna njaa, ni furaha mwanzo mwisho, ni kuimba na kuabudu mwanzo mwisho wanyamapori kama simba, chui, swala, nyumbu na wengine watakuwepo? Je wataishi kwa upendo bila kulana, watashirikiana kila kitu?
Je, wao wanyama kama watakuwepo watakua na wao kazi yao ni kuimba na kuabudu siku zote bila kikomo? Je wanyama hao watakua wanazaliana?
Kama wanyama wataenda kushirikiana huko mbinguni, je huku Duniani nani aliwagombanisha kwa sababu hawaongei, hata wale wa species moja kama simba, paka, mbwa, chui hawaelewani wakati wale wanaokula majani wanaelewana.
Naomba kufahamu mbinguni kutakuwaje ama kukoje, nasikia tu kua kuna misosi imeandaliwa kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu (hizo hotpot ni balaa). Angalau waislamu wanatoa picha ndogo ya mbinguni kukoje, wanawake warembo na pombe, hapo kwa wanawake wamenipata, nitajilia vimwana😂. Vimwana wa mbinguni mjiandae tafadhali (nasikia hakuna cha alkasusu, viagra wala vumbi la congo, ni mpini mwanzo mwisho hata goli 12)
Je, mbinguni kukoje?
Ahsante.
Mende mkubwa we..😂Mkuu umenihamasisha kufanya dhambi. Ila Mimi ninachojua ukifa mbuzi unazaliwa mtu, ukifa mtu unazaliwa kuku. Kwahiyo ukute wewe kabla hujaziliwa ulikuwa nguruwe.
Isaya 11:6-9Je, mbinguni ambapo tunaahidiwa kutakua na perfect life, hakuna kifo, hakuna kulia, hakuna njaa, ni furaha mwanzo mwisho, ni kuimba na kuabudu mwanzo mwisho wanyamapori kama simba, chui, swala, nyumbu na wengine watakuwepo? Je wataishi kwa upendo bila kulana, watashirikiana kila kitu?
Je, wao wanyama kama watakuwepo watakua na wao kazi yao ni kuimba na kuabudu siku zote bila kikomo? Je wanyama hao watakua wanazaliana?
Kama wanyama wataenda kushirikiana huko mbinguni, je huku Duniani nani aliwagombanisha kwa sababu hawaongei, hata wale wa species moja kama simba, paka, mbwa, chui hawaelewani wakati wale wanaokula majani wanaelewana.
Naomba kufahamu mbinguni kutakuwaje ama kukoje, nasikia tu kua kuna misosi imeandaliwa kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu (hizo hotpot ni balaa). Angalau waislamu wanatoa picha ndogo ya mbinguni kukoje, wanawake warembo na pombe, hapo kwa wanawake wamenipata, nitajilia vimwana😂. Vimwana wa mbinguni mjiandae tafadhali (nasikia hakuna cha alkasusu, viagra wala vumbi la congo, ni mpini mwanzo mwisho hata goli 12)
Je, mbinguni kukoje?
Ahsante.
Nimethibitisha hilo.We mbona haujathibitisha Kama mbinguni kupo?
Siyo sahihi, hapa kuna watu wawili, nipo mimi ninae sadikisha na yupo huyu anaekanusha.Aliyeanza kusema kuwa mbingu ipo ndio anatakiwa aanze kuthibitisha sio aliyekataa
Mfano ukija ukaniambia nyumbani kwako Kuna joka na Mimi sijawahi kuona wewe ndio unatakiwa unithibitishie Sababu wewe ndiye uliyeanza