Je, mbinguni kutakua na wanyama kama Simba, Chui, Swala au Mamba, na je wataishi pamoja bila kulana?

We mbona haujathibitisha Kama mbinguni kupo?
 
Aliyeanza kusema kuwa mbingu ipo ndio anatakiwa aanze kuthibitisha sio aliyekataa
Mfano ukija ukaniambia nyumbani kwako Kuna joka na Mimi sijawahi kuona wewe ndio unatakiwa unithibitishie Sababu wewe ndiye uliyeanza
 
Nitakuwa mpuuzi wa mwisho kukuthibitishia kitu ambacho hakipo huku nyinyi mnaosema kipo hamjakithibitisha kuwa kipo..!
So ndugu usiumize Sana kichwa fata njia yako tu.
unaongeleaje kitu kama hakipo?
 
Aliyeanza kusema kuwa mbingu ipo ndio anatakiwa aanze kuthibitisha sio aliyekataa
Mfano ukija ukaniambia nyumbani kwako Kuna joka na Mimi sijawahi kuona wewe ndio unatakiwa unithibitishie Sababu wewe ndiye uliyeanza

Mbinguni ni nini ...tuanzie hapo..manake unaongeleaje kama kitu hakipo
 
Mkuu umenihamasisha kufanya dhambi. Ila Mimi ninachojua ukifa mbuzi unazaliwa mtu, ukifa mtu unazaliwa kuku. Kwahiyo ukute wewe kabla hujaziliwa ulikuwa nguruwe.
 
Kila unacho kiona hapa dunuani, kipo na mbinguni ila in purity form na ni cha milele kinakuwa hakina mwisho..
 
Mkuu umenihamasisha kufanya dhambi. Ila Mimi ninachojua ukifa mbuzi unazaliwa mtu, ukifa mtu unazaliwa kuku. Kwahiyo ukute wewe kabla hujaziliwa ulikuwa nguruwe.
Mende mkubwa we..😂
 
wakuu tusalini sana kupitia imani zetu bt tukubali tukatae kwenye maandiko kumejaa chai nyingi sana ambazo kazi yake kubwa ni kututia hofu na kutupa mipaka ya kujudge baadh ya mambo

mkuu hivi unadhani laiti hata hao wazungu walotuletea dini wangefuata hayo matisho na mipaka ya kwenye maandiko leo hii hata hapa jf tusingekutana, kusingekua na kwenda anga za juu wala watu wasingefanyiwa operation kama sasa

ni kweli mungu yupo na kila aliewahi kua na imani anaprove hilo katika nguvu za kiroho bt mipaka na hofu zingne kwenye maandiko nadhani ilikua nyongeza ya watu.
 
Isaya 11:6-9
Mbwamwitu ataishi pamoja na mwanakondoo, chui watapumzika pamoja na mwanambuzi. Ndama na wanasimba watakula pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza. Ngombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe. Mtoto mchanga atacheza kwenye shimo la nyoka mtoto ataweza kutia mkono shimoni mwa nyoka wa sumu. Katika mlima mtakatifu wa Mungu hakutakuwa na madhara wala uharibifu. Maana kumjua Mwenyezi-Mungu kutaenea pote nchini, kama vile maji yajaavyo baharini.
 
Aliyeanza kusema kuwa mbingu ipo ndio anatakiwa aanze kuthibitisha sio aliyekataa
Mfano ukija ukaniambia nyumbani kwako Kuna joka na Mimi sijawahi kuona wewe ndio unatakiwa unithibitishie Sababu wewe ndiye uliyeanza
Siyo sahihi, hapa kuna watu wawili, nipo mimi ninae sadikisha na yupo huyu anaekanusha.

Usahihi ungekuwa hivi :
Jurjani : Mbinguni kupo.

Mwingine : Una ushahidi ? Embu tupe ushahidi.

(Huyu haja kanusha, bali amehoji, na huyu mimi niwajibu kumpa ushahidi).

Mfano wa pili.

Jurjani : Mbinguni kupo.
Mwingine : Hakuna mbinguni.
(Hapa anae kanusha naye ana wajibikia kutoa ushahidi,maana nitamuuliza)
Jurjani : Umejuaje hakuna mbinguni ?
(Wakana Mungu hapa ndipo huwa wabapoteana, na kuona ya kuwa jukumu la kuthibitisha wanalo wale wanao sadikisha, hali ya kuwa wao jukumu hili wanalo ila wanajua hawawezi kuthibitisha sababu wanatumia dhana tu na si Elimu. Hapa huwa wanapakimbia sana).

Kwa ufupi, kuna kusadikisha, kuhoji na kukanusha, anae kanusha lazima awe na ushahidi juu ya kile abacho kikanusha, siyo anaandika andika tu.
 
Dhana ya mbingu ni ya kiroho zaidi ya mwili

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…