Je, mbinguni kutakua na wanyama kama Simba, Chui, Swala au Mamba, na je wataishi pamoja bila kulana?

Dini bana yani mtu ukikaa chini ukawa open minded afu uanze kufatakari story za dini kwa reasoning unaweza ukajikuta unajipiga Vibao vingi sana mwenyewe mana sio kwa umbumbu huo
Uko sahihi kabisa na ukishaweka reasoning na logic kweny Mungu basa believe kesho unaamka ukiamini kabisa Mungu hawezi kuwepo [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Umetiririka vyema ila kunamaswali mengi yakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…