Je, mbona taifa la Malawi haliambiwi liombe kujiepusha na janga linalokuja?

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
1,023
Reaction score
1,185
Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!!
Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...!
Lakini safari hii sioni msisitizo hata wa kiongozi mmoja kusisitiza maombi na dua kukabili janga linalokadiliwa kufika nchi ya Malawi..!
Je? Tusemeje taifa limehama kwenye kuamini Mungu na kama limehama kwa sasa taifa linaamini nini?? Au viongozi wanaamini nini??

#Inashangaza na inaogopesha pia; kwenu wanaJamvi
 
Taifa limekengeuka baada ya kumwaga damu za watu zaidi ya 10,000 wasio na hatia

Back
Top Bottom