Pre GE2025 Je, Mbowe akishinda wabunge wanawake 19 watarudi, na Lissu atatimuliwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..Mashaka yangu ni hayo?

..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.

..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.

..wanajijali wao na genge lao kuliko wanachama na maslahi mazima ya chama.

..hawana mipango au malengo ya kukifikisha chama mbali zaidi na kilipo sasa.
 
Seriously?
Mbowe aliulizwa hilo swali na alijibu kuwa hawatarudi. Akaulizwa kama CDM yake itawasamehe, akasema suala la msamaha linaingiaje wakati hawajawahi kuomba msamaha. Akagusia kidogo kuwa kuna dalili kuwa wengine wameishahamia kwingine. Sasa mnataka aseme nini?

Watanzania wanahusika vipi hapa? CHADEMA sio chama tawala. Priority yao kubwa ni wanachama wao ( hasa wale ambao wamesimama nao siku zote).

Unasema kuwa anajijali yeye na genge lake lakini wale ambao wanaosema asipochaguliwa mtu wao patachimbika mnaona ndio wenye mapenzi na CDM. Kwangu mimi hao wanampenda mtu kuliko chama.

Hiyo mipango yao mibovu ndio iliyokifikisha chama hapa kilipo ambapo sasa kila mtu anajiona kuwa anakijua kuliko wale waliotokq nacho mbali. Hao wenye mapenzi ya dhati walikuwa wapi wakati kinapitia wakati mgumu.

Leo mnabeza maridhiano wakati kabla yake hata kukutana chumbani hamkuweza. Kabla yake mamia ya wanachama na wafuasi wa CDM walikuwa ndani kwa mashtaka ya ajabu ajabu ( mengine walishtakiwa kwa murder). Sikusikia watu wakichangisha michango ya kuwalipa mawakili wa kuwatetea. Nilichokiona na viongozi wa CDM, Bavicha na Bawacha wakiwatembelea mara kwa mara. Mlitaka hao waendelee kuozea mahabusu kwa sababu tu ya Covid 19? Halafu mnasema mnawajali wanachama wa Chadema?

Mimi nadhani kinachotakiwa ni mjadala wa kiungwana, kati ya watu wanaoheshimiana ingawa wanatofautiana mawazo. Baada ya hapo wale wenye mamlaka ya kupiga kura wamchague mtu ambae wanaona anaweza kuijenga CDM yenye matumaini kwao. Baada ya hapo waendelee kujipanga kwa ajili ya chaguzi zijazo.

Mnachofanya sasa ni kubomoa hata kile mlicho nacho kwa misguided efforts za kumtoa mtu msiyemkubali.

Mkataeni lakini msimvunjie heshima. Matumaini yangu ni kuwa yeyote atakayeshinda ataweza kuchukua mawazo mazuri ya washindani wake kwa faida ya chama chao.

Amandla...
 
Mbowe akishinda chadema itakuwa mfano wa lapulapu, why?
Mentality za watanzania zimelalia CDM ni chama cha kikanda, ulikuwa ni wakati mzuri wa kuondosha dhana hiyo,
Mbowe ameshakaa 20yrs, watanzania wangependa kuona CHANGES, ndani ya chama kuwa na mwamko mpya wenye kasi zaidi,
--Funds misuse hili nalo ni shida
--Fedha za chama kuingia kwenye account binafsi hii ni shida nyingine!
--Mtiririko wa hesabu/fedha za chama usioridhisha na usio wa UWAZI,
--Baadhi ya fedha na michango mbalimbali kutojulikan zilipo YAYUKIA,
--LOTS OF MADUDU
#KAZI KWENYE WAJUMBE, MKIONGWA KULENI MSIACHE KULA, LAKINI ENENDENI KWENYE KWELI.
 
Seriously?
Mbowe aliulizwa hilo swali na alijibu kuwa hawatarudi. Akaulizwa kama CDM yake itawasamehe, akasema suala la msamaha linaingiaje wakati hawajawahi kuomba msamaha. Akagusia kidogo kuwa kuna dalili kuwa wengine wameishahamia kwingine. Sasa mnataka aseme nini?

Watanzania wanahusika vipi hapa? CHADEMA sio chama tawala. Priority yao kubwa ni wanachama wao ( hasa wale ambao wamesimama nao siku zote).

Unasema kuwa anajijali yeye na genge lake lakini wale ambao wanaosema asipochaguliwa mtu wao mnaona ndio wenye mapenzi na CDM. Kwangu mimi hao wanampenda mtu kuliko chama.

Hiyo mipango yao mibovu ndio iliyokifikisha chama hapa kilipo ambapo sasa kila mtu anajiona kuwa anakijua kuliko wale waliotokq nacho mbali. Hao wenye mapenzi ya dhati walikuwa wapi wakati kinapitia wakati mgumu.

Leo mnabeza maridhiano wakati kabla yake hata kukutana chumbani hamkuweza. Kabla yake mamia ya wanachama na wafuasi wa CDM walikuwa ndani kwa mashtaka ya ajabu ajabu ( mengine walishtakiwa kwa murder). Sikusikia watu wakichangisha michango ya kuwalipa mawakili wa kuwatetea. Nilichokiona na viongozi wa CDM, Bavicha na Bawacha wakiwatembelea mara kwa mara. Mlitaka hao waendelee kuozea mahabusu kwa sababu tu ya Covid 19? Halafu mnasema mnawajali wanachama wa Chadema?

Mimi nadhani kinachotakiwa ni mjadala wa kiungwana, kati ya watu wanaoheshimiana ingawa wanatofautiana mawazo. Baada ya hapo wale wenye mamlaka ya kupiga kura wamchague mtu ambae wanaona anaweza kuijenga CDM yenye matumaini kwao. Baada ya hapo waendelee kujipanga kwa ajili ya chaguzi zijazo.

Mnachofanya sasa ni kubomoa hata kile mlicho nacho kwa misguided efforts za kumtoa mtu msiyemkubali.

Mkataeni lakini msimvunjie heshima. Matumaini yangu ni kuwa yeyote atakayeshinda ataweza kuchukua mawazo mazuri ya washindani wake kwa faida ya chama chao.

Amandla...

..Mbowe kufutiwa kesi, mahabusu kutolewa, na mikutano kufunguliwa, ilikuwa ndio masharti ya kuanza mazungumzo ya maridhiano.

..lakini maridhiano yenyewe yalihusu masuala ya kuanzisha tume huru ya uchaguzi, na kufufua mchakato wa mabadiliko ya katiba.

..waliokwamisha mazungumzo ni CCM, sio Mbowe, na lawama zinatakiwa kwenda kwao.

..makosa ya Freeman Mbowe ni kutokusimamia katika hoja kwamba CCM wamekwamisha mazungumzo.

..watu wanapokosoa maridhiano Mbowe anadhani wanamkosoa yeye, na kuanza kuyatetea.

..kosa lingine la Mbowe ni kuyafanya mazungumzo hayo kuwa ya siri na kutokutoa mrejesho wa mara kwa mara kuhusu kilichokuwa kikiendelea wakati wa mazungumzo.

NB:

..kwa sasa hivi chama kimezorota sana, na Mbowe anaonekana kuwa amechoka kiakili, na kimwili.
 
..Mashaka yangu ni hayo?

..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.

..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.

..wanajijali wao na genge lao kuliko wanachama na maslahi mazima ya chama.

..hawana mipango au malengo ya kukifikisha chama mbali zaidi na kilipo sasa.
Genge la watu 19 walikutana na mbowe Nairobi kenya akawaomba wamuunge mkono na tayari kawapa pesa wapo mikoani wilayani wanamfanyia kampeni mbowe, Lisu atashinda kwa kura lakini watamwibia kwa kufanya uchakachuaji na mbowe kuwa mshindi haramu, Lisu ni wakili nje ya siasa maisha yanaendelea vizuri akiporwa ushindi atasalia kuwa mwanachama wa kawaida na kuendelea na maisha yake, kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa na yote anapaswa kuyapokea
 
..Mbowe kufutiwa kesi, mahabusu kutolewa, na mikutano kufunguliwa, ilikuwa ndio masharti ya kuanza mazungumzo ya maridhiano.

..lakini maridhiano yenyewe yalihusu masuala ya kuanzisha tume huru ya uchaguzi, na kufufua mchakato wa mabadiliko ya katiba.

..waliokwamisha mazungumzo ni CCM, sio Mbowe, na lawama zinatakiwa kwenda kwao.

..makosa ya Freeman Mbowe ni kutokusimamia katika hoja kwamba CCM wamekwamisha mazungumzo.

..watu wanapokosoa maridhiano Mbowe anadhani wanamkosoa yeye, na kuanza kuyatetea.

..kosa lingine la Mbowe ni kuyafanya mazungumzo hayo kuwa ya siri na kutokutoa mrejesho wa mara kwa mara kuhusu kilichokuwa kikiendelea wakati wa mazungumzo.

NB:

..kwa sasa hivi chama kimezorota sana, na Mbowe anaonekana kuwa amechoka kiakili, na kimwili.
Washauri wakuu wa mbowe ni Sugu, Wenje, Boniface unategemea nini hapo ?
 
Mbowe anaogopa kuachia madaraka kwani siri zitafichuka kwenye pesa za chadema kafuja sana ni mchoyo pesa za msaada kwa chama anajimilikisha, anaogopa akitoka watagundua ufisadi wake
Kitajulikana tu ...iko siku
 
..Mashaka yangu ni hayo?

..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.
Ni kweli
kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.
Huu ndio ushauri wangu kwao siku nyingi tangu day one kwanza kwa kuwapongeza makamanda hawa kukataa ujinga wa Chadema "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji kisha kuwashauri CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao kitu ambacho ni kweli na hata hili la Lissu kugombea ili kumfukuza
Kazi Mbowe na Mbowe kugoma, ni sehemu ya
Karma ya hawa wadada Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu na mwisho nikawashauri Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!
wanajijali wao na genge lao kuliko wanachama na maslahi mazima ya chama.
True
hawana mipango au malengo ya kukifikisha chama mbali zaidi na kilipo sasa.
True
TL is a done deal Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
 
Seriously?
Mbowe aliulizwa hilo swali na alijibu kuwa hawatarudi. Akaulizwa kama CDM yake itawasamehe, akasema suala la msamaha linaingiaje wakati hawajawahi kuomba msamaha. Akagusia kidogo kuwa kuna dalili kuwa wengine wameishahamia kwingine. Sasa mnataka aseme nini?

Watanzania wanahusika vipi hapa? CHADEMA sio chama tawala. Priority yao kubwa ni wanachama wao ( hasa wale ambao wamesimama nao siku zote).

Unasema kuwa anajijali yeye na genge lake lakini wale ambao wanaosema asipochaguliwa mtu wao mnaona ndio wenye mapenzi na CDM. Kwangu mimi hao wanampenda mtu kuliko chama.

Hiyo mipango yao mibovu ndio iliyokifikisha chama hapa kilipo ambapo sasa kila mtu anajiona kuwa anakijua kuliko wale waliotokq nacho mbali. Hao wenye mapenzi ya dhati walikuwa wapi wakati kinapitia wakati mgumu.

Leo mnabeza maridhiano wakati kabla yake hata kukutana chumbani hamkuweza. Kabla yake mamia ya wanachama na wafuasi wa CDM walikuwa ndani kwa mashtaka ya ajabu ajabu ( mengine walishtakiwa kwa murder). Sikusikia watu wakichangisha michango ya kuwalipa mawakili wa kuwatetea. Nilichokiona na viongozi wa CDM, Bavicha na Bawacha wakiwatembelea mara kwa mara. Mlitaka hao waendelee kuozea mahabusu kwa sababu tu ya Covid 19? Halafu mnasema mnawajali wanachama wa Chadema?

Mimi nadhani kinachotakiwa ni mjadala wa kiungwana, kati ya watu wanaoheshimiana ingawa wanatofautiana mawazo. Baada ya hapo wale wenye mamlaka ya kupiga kura wamchague mtu ambae wanaona anaweza kuijenga CDM yenye matumaini kwao. Baada ya hapo waendelee kujipanga kwa ajili ya chaguzi zijazo.

Mnachofanya sasa ni kubomoa hata kile mlicho nacho kwa misguided efforts za kumtoa mtu msiyemkubali.

Mkataeni lakini msimvunjie heshima. Matumaini yangu ni kuwa yeyote atakayeshinda ataweza kuchukua mawazo mazuri ya washindani wake kwa faida ya chama chao.

Amandla...
Mnachofeli wafuasi wa Mbowe ni kua kulikua na masharti yakuelekea makubaliano, hayo masharti yalipoanza kutekelezwa na Serikali nyie wafusi wa Mbowe na Mbowe mwenyewe ndio mnayaita sasa mafanikio ya makubaliano.
 
Seriously?
Mbowe aliulizwa hilo swali na alijibu kuwa hawatarudi. Akaulizwa kama CDM yake itawasamehe, akasema suala la msamaha linaingiaje wakati hawajawahi kuomba msamaha. Akagusia kidogo kuwa kuna dalili kuwa wengine wameishahamia kwingine. Sasa mnataka aseme nini?

Watanzania wanahusika vipi hapa? CHADEMA sio chama tawala. Priority yao kubwa ni wanachama wao ( hasa wale ambao wamesimama nao siku zote).

Unasema kuwa anajijali yeye na genge lake lakini wale ambao wanaosema asipochaguliwa mtu wao mnaona ndio wenye mapenzi na CDM. Kwangu mimi hao wanampenda mtu kuliko chama.

Hiyo mipango yao mibovu ndio iliyokifikisha chama hapa kilipo ambapo sasa kila mtu anajiona kuwa anakijua kuliko wale waliotokq nacho mbali. Hao wenye mapenzi ya dhati walikuwa wapi wakati kinapitia wakati mgumu.

Leo mnabeza maridhiano wakati kabla yake hata kukutana chumbani hamkuweza. Kabla yake mamia ya wanachama na wafuasi wa CDM walikuwa ndani kwa mashtaka ya ajabu ajabu ( mengine walishtakiwa kwa murder). Sikusikia watu wakichangisha michango ya kuwalipa mawakili wa kuwatetea. Nilichokiona na viongozi wa CDM, Bavicha na Bawacha wakiwatembelea mara kwa mara. Mlitaka hao waendelee kuozea mahabusu kwa sababu tu ya Covid 19? Halafu mnasema mnawajali wanachama wa Chadema?

Mimi nadhani kinachotakiwa ni mjadala wa kiungwana, kati ya watu wanaoheshimiana ingawa wanatofautiana mawazo. Baada ya hapo wale wenye mamlaka ya kupiga kura wamchague mtu ambae wanaona anaweza kuijenga CDM yenye matumaini kwao. Baada ya hapo waendelee kujipanga kwa ajili ya chaguzi zijazo.

Mnachofanya sasa ni kubomoa hata kile mlicho nacho kwa misguided efforts za kumtoa mtu msiyemkubali.

Mkataeni lakini msimvunjie heshima. Matumaini yangu ni kuwa yeyote atakayeshinda ataweza kuchukua mawazo mazuri ya washindani wake kwa faida ya chama chao.

Amandla...
Maneno mazito sana.

Sijui kama Lissu na mashabiki wake wanafahamu kwamba kuna wanachama wengi waliofanikiwa kutoka ktk magereza na sasa wameungana na familia zao.

Sijui kama Lissu na mashabiki wake wanatambua makao makuu ya chama Mikocheni ni matunda ya maridhiano.

Sijui kama Lissu anafahamu mikutano ya hadhara na ile ya ndani iliwezekana baada ya mazungumzo ya maridhiano.

Sijui kama Lissu anakumbuka Mwenyekiti wake alibambikiwa kesi mbaya na ngumu lakini kupitia mazungumzo zilifutwa zote kwakuwa zilikuwa na malengo ya kisiasa.

Narudia tena na tena Lissu kama anaweza kukibagaza chama chake akiwa kiongozi mkubwa number 2 siku kwa faida za siasa zake siku akikamata hatamu atawabagaza kina nani ?.

Ukweli mchungu napata ukakasi sana na aina ya siasa za Lissu.Amekifikisha chama chake mahali pagumu sana pengine ungefikri labda kashushwa mwezini hajui mazingira ya siasa zetu.
 
..Mashaka yangu ni hayo?

..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.

..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.

..wanajijali wao na genge lao kuliko wanachama na maslahi mazima ya chama.

..hawana mipango au malengo ya kukifikisha chama mbali zaidi na kilipo sasa.
Why UKo biased hivyo? Genge lake lipi? Wewe ni mpiga kura? Ni mwanachama wa CHADEMA? Tusiwe na ramli chonganishi, yoyote atayeshinda, CHADEMA itabaki salama. Na hizo ndio taarifa mbaya Sana kwa CCM
 
..Mashaka yangu ni hayo?

..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.

..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.

..wanajijali wao na genge lao kuliko wanachama na maslahi mazima ya chama.

..hawana mipango au malengo ya kukifikisha chama mbali zaidi na kilipo sasa.

Mkuu huu ndio ukweli wasiotaka kusikia genge la mwenyekiti.
Tutaendelea kusizitiza Mbowe kuachia uenyekiti kwa mtu mwingine....

Wasipotusikia tunawaachia chama chao
 
Maneno mazito sana.

Sijui kama Lissu na mashabiki wake wanafahamu kwamba kuna wanachama wengi waliofanikiwa kutoka ktk magereza na sasa wameungana na familia zao.

Sijui kama Lissu na mashabiki wake wanatambua makao makuu ya chama Mikocheni ni matunda ya maridhiano.

Sijui kama Lissu anafahamu mikutano ya hadhara na ile ya ndani iliwezekana baada ya mazungumzo ya maridhiano.

Sijui kama Lissu anakumbuka Mwenyekiti wake alibambikiwa kesi mbaya na ngumu lakini kupitia mazungumzo zilifutwa zote kwakuwa zilikuwa na malengo ya kisiasa.

Narudia tena na tena Lissu kama anaweza kukibagaza chama chake akiwa kiongozi mkubwa number 2 siku kwa faida za siasa zake siku akikamata hatamu atawabagaza kina nani ?.

Ukweli mchungu napata ukakasi sana na aina ya siasa za Lissu.Amekifikisha chama chake mahali pagumu sana pengine ungefikri labda kashushwa mwezini hajui mazingira ya siasa zetu.
Tunawahitaji Watu wa design yake ili chama kipite kwenye Moto mkali baadae kiwe strong....na hata dhahabu ni hivyo hivyo. MUNGU atatenda. Dr Slaa alitumiza Sana ila alitufanya tuwe wamoja Sana.
 
Back
Top Bottom