Pre GE2025 Je, Mbowe akishinda wabunge wanawake 19 watarudi, na Lissu atatimuliwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alibadili katiba(Kihuni) na kutoa ukomo ili ajipe haki ya kuwa mwenyekiti bila ukomo. So unaposema haki ya kikatiba elewa vyema kuwa alijipa haki hiyo kihuni.
Na demokrasia isikufanye uende kama roboti, kama mnaona kupokezana Wakristo na Waislamu, au Wamakonde na Wachagga kunajenga zaidi basi fanyeni hivyo. Huko ni kukomaa na kuondoa Tyranny of the majority, wala si kufungua pandora box.
 
Rudi kasikilize press ya Mbowe - alilijibu hili kwa ufasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…