Acheni binti Peneza. Mtoto mtamu wa busaraDuh,kizungumkuti.
nilipo soma tu "mleda" maada.. nikajua ume type ukiwa juu ya pikipiki!!Tumeanza kutafuta pa kutokea sasa,
Eheee mleda mada endelea na story yako
Hahahaaaa...... Namuona boss wako Mnyika anachungulia hapa!Umechoka sana, yaani ndiyo umefikia hatua hii unamzidi hata bia yetu kwa kupost utopolo
Hizi si mpaka wakamfukiza kazi AG kificha aibu.Magufuli mwizi anamjuwa mwizi mwenzake arudishe 1.5 trilion kwanza
Siku hizi Chadema hampigi vita ufisadi?Msingizie binti wa watu; huo uchafu ni wenu kama kawaida yenu.
Tatizo they're reading different pages.Kuidhinisha shilling million 460 sio kwa bahati mbaya. Matumizi mabaya yanazungumzwa kisiasa lakini hawajapiga marufuku manunuzi.Rais Magufuli ametumia busara kubwa kwa hili, na ameliacha libaki fundisho kwa watendaji wa serikali. Kwenye hayo manunuzi inawezekana kwamba taratibu zipo na zilifuatwa lakini viongozi hawakujiongeza kwanini gari la mil 460, hii ilikua ni muhimu....
Ingekua issue ya uwajibishwaji wengi wangewajibika kama DED mwenyewe
Wewe ndio mpumbavu namba moja, tangu lini sentensi ikaanza na herufi ndogo?nilipo soma tu "mleda" maada.. nikajua ume type ukiwa juu ya pikipiki!!
Kakojoe ulale
Hahahaaaa..... Nimeuliza tu bwashee!Duh. mkuu sasa umeamua kuwa sadist kabisa? Baada ya kumnyang’anya Upendo ushindi na kumsweka lokapu sasa unamtwisha na zigo la VX la DED kabisa! Eti kwa nini “hakupinga” kama kawaida yao!
Hapa hata Paskali anaweza kulia kabisa kwa uonezi huu. Kweli duniani hakuna haki.
Mkuu haya mambo ya busara haya paswi kuchwa bila sheria, swala ni je alitakiwa anunue la bei gani?Rais Magufuli ametumia busara kubwa kwa hili, na ameliacha libaki fundisho kwa watendaji wa serikali. Kwenye hayo manunuzi inawezekana kwamba taratibu zipo na zilifuatwa lakini viongozi hawakujiongeza kwanini gari la mil 460, hii ilikua ni muhimu....
Ingekua issue ya uwajibishwaji wengi wangewajibika kama DED mwenyewe
Sheria unayoijua wewe inasemaje?Mkuu haya mambo ya busara haya paswi kuchwa bila sheria, swala ni je alitakiwa anunue la bei gani?
DED allishatangaza hadharani Ofisi ya Waziri mkuu iliidhinisha.
Hata akifichua utasikia wapi wakati viongozi wa vyama pinzani habari zao haziandikwi kwenye hivyo vyombo vya habari vya maccm?Mtoa mada hajasema inakuwa halali,kama mbunge wa upinzani alipaswa kufichua huu ufisadi.