Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Muwe mna watag jamani, tunao humu viongozi wetuMkuu huyo mama Ni jembe kwani habetui mabega wala hajui kupinda mdomo kwenye kazi yake full time yupo kazini & active
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwe mna watag jamani, tunao humu viongozi wetuMkuu huyo mama Ni jembe kwani habetui mabega wala hajui kupinda mdomo kwenye kazi yake full time yupo kazini & active
Na wewe Una hasara kama Mimi hapa Mafinga? Kumbe Mbunge wako Jesca, hivi Iringa tumemkosea nini Mungu?Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine.
Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa angalizo. Sisi Iringa mjini na Kawe tunatarajia kupata Wabunge wapya.
Mungu ni Mwema wakati Wote 😄
Soma Pia:
Wabunge waliobebwa kwa mbeleko mwaka 2020 hali ni tete, Arusha mjini na Mbeya mjini kimeumana
Mahudhurio Bungeni, Wabunge wengine wapo wapi mbona hata majimboni hawaonekani?
GWAJIMA wa X siyo Huyo tapeli wa Kawe.Angalau Dr. Gwajima anajitahidi kwenye uwaziri, hata kule jamuhuri ya X anapongezwa sana tofauti na mawaziri wenzake.
Sijajua upande wa ubunge huko kwenu bwashee lakini ameitendea wizara haki na labda inaweza kumbeba kwenye ubunge.
Kuna huyu wa Kibamba anaitwa Mtemvu, buree kabisa... Jimbo lake miundombinu hoi taaban... Sehemu kubwa Maji hakuna, Barabara na madaraja yaliyoharibiwa zaidi ya miezi nane sasa hakuna alichofanya kurudisha hali zake sawa... Kwa tathmini ya harakaharaka hafai kabisa,Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine.