Pre GE2025 Je, Mbunge wako ana hali nzuri hapo Bungeni kuelekea 2025? Wabunge wangu Askofu Gwajima (Kawe) na Jesca (Iringa Mjini) hali ni tete

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine.

Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa angalizo. Sisi Iringa mjini na Kawe tunatarajia kupata Wabunge wapya.

Mungu ni Mwema wakati Wote 😄

Soma Pia:
Wabunge waliobebwa kwa mbeleko mwaka 2020 hali ni tete, Arusha mjini na Mbeya mjini kimeumana
Mahudhurio Bungeni, Wabunge wengine wapo wapi mbona hata majimboni hawaonekani?
Na wewe Una hasara kama Mimi hapa Mafinga? Kumbe Mbunge wako Jesca, hivi Iringa tumemkosea nini Mungu?
 
Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine.

Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa angalizo. Sisi Iringa mjini na Kawe tunatarajia kupata Wabunge wapya.

Mungu ni Mwema wakati Wote 😄

Soma Pia:
Wabunge waliobebwa kwa mbeleko mwaka 2020 hali ni tete, Arusha mjini na Mbeya mjini kimeumana
Mahudhurio Bungeni, Wabunge wengine wapo wapi mbona hata majimboni hawaonekani?
Kuna huyu wa Kibamba anaitwa Mtemvu, buree kabisa... Jimbo lake miundombinu hoi taaban... Sehemu kubwa Maji hakuna, Barabara na madaraja yaliyoharibiwa zaidi ya miezi nane sasa hakuna alichofanya kurudisha hali zake sawa... Kwa tathmini ya harakaharaka hafai kabisa,
 
Yupo yule MNEC nimemsahau jina lake halisi ila a.k.a MANGUZO, amemkalia kooni Angelina Mabula huku Ilemela anapumulia mashine
 
Back
Top Bottom