Kuna huyu wa Kibamba anaitwa Mtemvu, buree kabisa... Jimbo lake miundombinu hoi taaban... Sehemu kubwa Maji hakuna, Barabara na madaraja yaliyoharibiwa zaidi ya miezi nane sasa hakuna alichofanya kurudisha hali zake sawa... Kwa tathmini ya harakaharaka hafai kabisa,