Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Wote wanatoa tofauti viwango.Rushwa ipo CCM Rushwa ipo CDM.Hivi CCM kuna mtu ambae hua hatoi rushwa kwny kampeni zake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wanatoa tofauti viwango.Rushwa ipo CCM Rushwa ipo CDM.Hivi CCM kuna mtu ambae hua hatoi rushwa kwny kampeni zake?
Mimi nafrahia sana haya yanavyotokea CCM. Natamani hata upinzani ujiengue kwenye uchaguzi tuanze kuona watakavyoumana wao kwa wao.. upinzani utakao zaliwa CCM utakuwa mkubwa kuliko wa chadma au ACTMtu kashinda kura za maoni mnaanza uchunguzi kisa Mwakyembe kashindwa au kisa Bashite kashindwa alafu mnambakia tuhuma mshindi wa kwanza jina likatwe huo ni mfumo wa hovyo kupata kutokea, kama kuna watu mliwatuma kuchunguza ni bora hao mlowatuma wawe wanatumwa mapema kusaka wagombea ili mtu akigombea awe anakubalika kuliko kupiga kura za maoni mshindi kwenda kukatwa Dodoma, huo mfumo umepitwa na wakati CCM amkeni.
Kwa Bahati mbaya CCM hawajui kuwa watanzania wameamka sasa wanajua mfumo wa kwenda kumkata jina Dodoma kwa visingizio vya kamati za uchaguzi umepitwa na wakati na kumkata chaguo la wengi kuleta chaguo la wachache ni kupeleka uchakachuaji wizi wa kura majimboni, wasiokubalika ndiyo hutumia mda mwingi kuwahujumu kuwadhoofisha wapinzani ili wapate kuiba kura.Mimi nafrahia sana haya yanavyotokea CCM. Natamani hata upinzani ujiengue kwenye uchaguzi tuanze kuona watakavyoumana wao kwa wao.. upinzani utakao zaliwa CCM utakuwa mkubwa kuliko wa chadma au ACT
CCM wafaa waje kisasa zaidi maana bado wapo analogia kwenye mfumo wa kuteua majinaSasa unaanzaje kuchunguza mtu kaupatajepataje ushindi kama sio ramli chonganishi hizi? Nadhani next time wawe wanapick jina moja juu kwa juu tu na mchezo unaishia hapo
Tatizo siyo kuhamia upinzani Tatizo ni kwenda kulazimisha CCM ipendwe na kuiba kura kufanya uchakachuaji baada ya kuwa mmepeleka mtu asiye chaguo lao, watu hawataki kupelekewa mtu wa kwenda kuiba kura kupora jimbo kwa njia haramu wanakosa uwakilishi bora Bungeni.Tuache utaratibu ufanye kazi wasiofurahia yajayo kuhamia upinzani ruksa hata wapiga kura kuhamia upinzani ruksa pia.
CCM wakijidai kuwachuja watu kwa visingizio vya uchunguzi usio na tija wajiandae kwenda kuiba kura tu lakini wapiga kura hawatakubali kumpa kura mtu ambaye siyo chaguo lao.Kuna Dalili nyingi ya CCM, kukipa wabunge wengi Bara, chama cha ACT.
Mshindi wa kigamboni akikatwa anachukua jimbo kupitia ACT.
Bashite hapendwi kigamboni
Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje?
Kwa maana nyingine wanatumia vyote vya uchunguzi kupata taarifa, kwa maana hiyo mshindi wa kwanza ikitokea akawa na chuki na wachunguzi au wachunguzi wakiwa na mahusiano na walioshindwa ni lazima watamhujumu mshindi wa kwanza.
Huu ni mfumo wa hovyo na unaweza kupelekea uwepo wa Rushwa kwa washindi kuhitaji taarifa zao ziwe safi pia unaweza kusababisha CCM kuchuja watu safi na kuleta magarasa kwa kisingizio cha uchunguzi wao usio na tija, nini maana ya kura ya maoni? TAKUKURU walikuwepo ni kwa nini hawakumaliza kila kitu huko chini?
Kitendo cha kwenda kumkata mshindi kisha kumleta mtu wa nne au tano ni kuwanyima fursa, kuwakejeli wapiga kura na hapo ndipo upinzani hutumia vizuri madhaifu ya CCM.
Naona chama cha CCM wakipoteza viti vingi sana vya ubunge, pindi wakimkata aliyeshinda kura za maoni na kumuweka aliyeshindwa.
Muda utaongea kwa jambo hili, tuombe uzima Oktoba haiko mbali.
Hatari sana mkubwa ni zaidi ya mpasukoMpasuko waja hima!
Hakika kiongozi bora aliyepita kura za maoni aachwe. Maana hizo kura za maoni ndo reflection ya namna huyo alieshinda anavyokubalika na kinyume chake.Naunga mkono hoja yako kwa 100%