Uchaguzi 2020 Je, mchujo wa washindi wa kura za maoni CCM kugubikwa na sintofahamu nyingi?

Kama hamujui ni vyema mkauliza! You utaratibu sio mpya na hupo miaka yote ndani ya CCM, chaajabu umetolea mfano eti Kama wanachuku nawewe!! Yani jamati nzima imchukie mtu mmoja tu?

Ile ni kamati ya usalama na maadili ya chama hiyo ndio inatoa recommendation kuwa huyu alishinda ila aligawa rushwa hivo amekiuka maadili ya chama.
Ninachojiuliza, hivi rushwa ilivyotembezwa mtindo mmoja kwenye kura za maoni safari hii, je huko wanakodai watakata majina, wataweza kuwapiga panga wote hao?
 
CCM wanataka kulazimisha Bashite na Mwakyembe warudi jimboni
Hatari sana mkubwa, huko kulazimisha akina Bashite waingie kwenye kinyang'anyiro ndo kuwapa nafasi wapinzani wachukue majimbo kirahisi zaidi.
 
Minyoo ni mgombea ulieongoza kwa rushwa. Wasiwasi wa nini. CCM tunataka wagombea safi na ni na Waziri material sio darasa la saba. Rais awe na choice kubwa akitaka mawaziri .
 
Fisi 2 ni mgombea aliyetoa Rushwa akashindwa kwenye kura za maoni na sasa ametoa Rushwa kwa vyombo vya uchunguzi viwapakazie uongo wale waliomshinda ili majina yakatwe jina lake libaki aende kufanya uchakachuaji jimboni kwani hakuna mpiga kura anamtaka.
 
Hatari sana mkubwa, huko kulazimisha akina Bashite waingie kwenye kinyang'anyiro ndo kuwapa nafasi wapinzani wachukue majimbo kirahisi zaidi.
Shida kubwa itakuwa ni kuiba kura uchakachuaji kulazimisha ushindi kwa wagombea wa CCM kwani hakuna kazi ngumu kama kulazimisha kupendwa kama inayofanywa na CCM
 
CCM wanataka kulazimisha Bashite na Mwakyembe warudi jimboni

Kwa hali ilivyokuwa Kigamboni sizani kama watamrudisha jamaa kule.

Wanaweza kufanya hivyo kwingine kote lakini siyo Kigamboni.

Unajua nao wanauelewa wa mambo mkubwa na kujua kusoma upepo unavyovuma!
 
Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje?

Kwa maana nyingine wanatumia vyote vya uchunguzi kupata taarifa, kwa maana hiyo mshindi wa kwanza ikitokea akawa na chuki na wachunguzi au wachunguzi wakiwa na mahusiano na walioshindwa ni lazima watamhujumu mshindi wa kwanza.

Huu ni mfumo wa hovyo na unaweza kupelekea uwepo wa Rushwa kwa washindi kuhitaji taarifa zao ziwe safi pia unaweza kusababisha CCM kuchuja watu safi na kuleta magarasa kwa kisingizio cha uchunguzi wao usio na tija, nini maana ya kura ya maoni? TAKUKURU walikuwepo ni kwa nini hawakumaliza kila kitu huko chini?

Kitendo cha kwenda kumkata mshindi kisha kumleta mtu wa nne au tano ni kuwanyima fursa, kuwakejeli wapiga kura na hapo ndipo upinzani hutumia vizuri madhaifu ya CCM.
Wacha wafu wazikane wenyewe
 
Kwa mfumo huu wa kuhoji walipata Kura nyingi kwenye kura za maoni wafuatao wasihangaike kwenda kuhojiwa dodoma ,kwani wataaibika na majina yao hatafutwa moja kwa moja.
1.Prof Adolf mkenda
2. Dr David mathayo
3. Prof muhongo
4. Mr Sagini
5. Mrisho gambo
6. Mr mnyeti
7.Kurwa biteko
8.mr sashisha
9. Ibrahim shayo
10. Dr mollel
11.Agrey mwandri
12. Fred Lowasa
14. Mwita waitara
15. Priscus kimaryo
16. Dr kibwangala
17. Ole sendeka
18. Onegea.....
 
Back
Top Bottom