Uchaguzi 2020 Je, mchujo wa washindi wa kura za maoni CCM kugubikwa na sintofahamu nyingi?

Mimi nafrahia sana haya yanavyotokea CCM. Natamani hata upinzani ujiengue kwenye uchaguzi tuanze kuona watakavyoumana wao kwa wao.. upinzani utakao zaliwa CCM utakuwa mkubwa kuliko wa chadma au ACT
 
Mimi nafrahia sana haya yanavyotokea CCM. Natamani hata upinzani ujiengue kwenye uchaguzi tuanze kuona watakavyoumana wao kwa wao.. upinzani utakao zaliwa CCM utakuwa mkubwa kuliko wa chadma au ACT
Kwa Bahati mbaya CCM hawajui kuwa watanzania wameamka sasa wanajua mfumo wa kwenda kumkata jina Dodoma kwa visingizio vya kamati za uchaguzi umepitwa na wakati na kumkata chaguo la wengi kuleta chaguo la wachache ni kupeleka uchakachuaji wizi wa kura majimboni, wasiokubalika ndiyo hutumia mda mwingi kuwahujumu kuwadhoofisha wapinzani ili wapate kuiba kura.
 
Vyokao vya Dodoma acheni kuwachagulia wapiga kura acheni chagui zao zikapiganie kwenye sanduku la kura
 
Sasa unaanzaje kuchunguza mtu kaupatajepataje ushindi kama sio ramli chonganishi hizi? Nadhani next time wawe wanapick jina moja juu kwa juu tu na mchezo unaishia hapo
 
Sasa unaanzaje kuchunguza mtu kaupatajepataje ushindi kama sio ramli chonganishi hizi? Nadhani next time wawe wanapick jina moja juu kwa juu tu na mchezo unaishia hapo
CCM wafaa waje kisasa zaidi maana bado wapo analogia kwenye mfumo wa kuteua majina
 
Mchujo wa CCM Dodoma ukifanyika vibaya wasitegemee wapiga kura kuijtokeza siku ya uchaguzi, wananchi wanajua wapo watu watasingiziwa watapakaziwa uongo ili vipatikane visingizio vya kuwakata majina yao licha ya kuongoza kura za maoni, Athari zake ni wananchi kususia upigaji kura ama kuamua kupigia upande mwingine kukomesha tabia mbaya ya kuwachagulia wananchi mtu wa kumpa kura, wapo wenye tuhuma kweli na wapo wenye tuhuma za kupandikiza tuhuma za kutengenezwa na wabaya wao, CCM kuweni makini na hilo vinginevyo uchaguzi utabugikwa na vioja vingi.
 
Tuache utaratibu ufanye kazi wasiofurahia yajayo kuhamia upinzani ruksa hata wapiga kura kuhamia upinzani ruksa pia.
 
Naona chama cha CCM wakipoteza viti vingi sana vya ubunge, pindi wakimkata aliyeshinda kura za maoni na kumuweka aliyeshindwa.
Muda utaongea kwa jambo hili, tuombe uzima Oktoba haiko mbali.
 
Kuna Dalili nyingi ya CCM, kukipa wabunge wengi Bara, chama cha ACT.

Mshindi wa kigamboni akikatwa anachukua jimbo kupitia ACT.

Bashite hapendwi kigamboni
 
Tuache utaratibu ufanye kazi wasiofurahia yajayo kuhamia upinzani ruksa hata wapiga kura kuhamia upinzani ruksa pia.
Tatizo siyo kuhamia upinzani Tatizo ni kwenda kulazimisha CCM ipendwe na kuiba kura kufanya uchakachuaji baada ya kuwa mmepeleka mtu asiye chaguo lao, watu hawataki kupelekewa mtu wa kwenda kuiba kura kupora jimbo kwa njia haramu wanakosa uwakilishi bora Bungeni.
 
Kuna Dalili nyingi ya CCM, kukipa wabunge wengi Bara, chama cha ACT.

Mshindi wa kigamboni akikatwa anachukua jimbo kupitia ACT.

Bashite hapendwi kigamboni
CCM wakijidai kuwachuja watu kwa visingizio vya uchunguzi usio na tija wajiandae kwenda kuiba kura tu lakini wapiga kura hawatakubali kumpa kura mtu ambaye siyo chaguo lao.
 
Naona wateule tarajali walioangukia pua wanatafutiwa namna ya kuingia au kurejea kwenye kabinet ya mkulu! Yetu macho, yao meno!
 
Naona chama cha CCM wakipoteza viti vingi sana vya ubunge, pindi wakimkata aliyeshinda kura za maoni na kumuweka aliyeshindwa.
Muda utaongea kwa jambo hili, tuombe uzima Oktoba haiko mbali.

Mpasuko waja hima!
 
Naona wateule tarajali walioangukia pua wanatafutiwa namna ya kuingia au kurejea kwenye kabinet ya mkulu! Yetu macho, yao meno!
Mwakyembe na Bashite wanatafutiwa njia za kupenya
 
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
Hakika kiongozi bora aliyepita kura za maoni aachwe. Maana hizo kura za maoni ndo reflection ya namna huyo alieshinda anavyokubalika na kinyume chake.
 
Hakika kiongozi bora aliyepita kura za maoni aachwe. Maana hizo kura za maoni ndo reflection ya namna huyo alieshinda anavyokubalika na kinyume chake.
CCM wanataka kulazimisha Bashite na Mwakyembe warudi jimboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…