Je, Media za Bongo zimeshindwa kupambana na Diamond?

Ita kama wewe ni mkubwa huwezi kuwa juu ya media ,media hasa tv na radio zina mchango mkubwa katika kumpromote msanii zaidi ya chochote
All in all media ina mchango mkubwa sana kupromote msanii,tuliona jinsi clouds walivyombana Jide lakini kwakuwa Jide anajua umuhimu wa media akatumia East Africa Radio kutangaza Kazi zake,haiwezekani Media zote wasipige nyimbo zako obvious utakuwa na shida tu,hauwezi kula bila kuliwa, figisu za OSATA walizowafanyia wasanii wengine nao zinarudi kwao,karma is a real b waache kulalama it's their turn.
 
Unavong'ang'ana sijui unatetea nn
 
Acha kuwafunga mdomo watu kwa uonevu wanaofanyiwa wasanii miaka nenda rudi,Diamond wamemshindwa na tunasema wamemshindwa.kinachoangaliwa hapa ni kwa namna gani CHUKI zawaz zinazojitokeza kisa maslahi kwa msaniii,jee HALI ikoje kwa wasiojiweza zaid wanajikongoja.Au ndo mambo ya RUBY kuomba msamaha maskini na kujiita gala.CLOUDS NA HAO EA WASHAANZA KUCHUNGULIA SHIMO KAMA BWANA SHIGONGO NA VIJIGAZET VYAKE,NA BADO WENGI TU WATAPOTEA,TATZO HAWAJUI DUNIA IPO KUGANJANI MWAKO SASA UMTISHIE MTU KISA LIREDIO AMBALO WATU KUSKIZA YENYEWE SIKU HIZI NI NGUMU
 
 
Aisee jamaa wanafuliaga kwa WCB Sana'a sijui kwa nn,waliungana kumpromote KIBA na SEDUCE aisee daaah mpaka iliogopesha.iLA ONDI ANA ROHO YA CHUMA KUDADEK,KAKAZA KAMA KAWA KAMALIZA MWAKA KATOBOA,SASA ULE MJENGO WA WCB NDO UNAWACHANGANYA KABISAAA LAZIMA WAZIDISHE CHUKI
 
Mimi nina miaka kama mi 5 sijawahi kusikiliza redio yoyote..
Sidhani kama msanii kama diamond anategemea radio.
Kwa ulimwengu huu wa smartphone ya nini kusubili wimbo wako bora upigwe kwenye radio wakati una uwezo wa kuudownload kwa mb 3 tu halafu ukaupiga kwa mwaka mzima utalavyo..

Labda wakina ruge watafute njia nyingine
 
Nimesikia nyimbo 3 za diamond mfululizo asubuhi hii..magic fm.
Radi
 
It it is not about kuoanzisha TV, Raido or what it is about fairness. Kwa hiyo wanamuziki wooote waanzishe bendi zao ili wapige miziki yao. Hiyo Radio Ya CLOUDS inayotaka kunyenyekewa utafirkir serikali haipo no. Hii ifikie mwisho as enough is enough.!
 
Hao wanaonunua muziki mtandaoni wako wangapi!? Hao wanategemea shows tu. Ila usidharau nguvu ya radio , huko mikoani bongo fleva imepaishwa sana na radio zinazocheza muziki wa hawa vijana.
SIKU HIZI MZIKI UNAUZIKA MNO MITANDAONI KULIKO KWENYE RADIO.PAGES ZA INSTAGRAM NA FACEBOOK ZINAWEZA FANYA MSANII KUENDESHA MAISHA YAKE YA KIMUZIKI VEMA.
WATU WENGI WA MEDIA MARA NYINGI NI WANAFIKI MNO.WANATAKA WANYENYEKEWE ILI WAPIGE NYIMBO ZA MSANII
 
Mondi bin laden....hata bila promo mziki wake unajiuza...viewers youtube wanamlipa sana skuiz show za bongo ni bure kama juzi..mboso nyimbo no 1 on trending bado kdg viewers wafike
1 m
Balaah sana huyu mnyama asiye fugwa maana ategemei chakula cha mtu. Anasaka mwenyewe ndo maana anajitoa kwa wasanii wake maana anaweka link za nyimbo za wanamziki wake na kuwapigia promo ya kutosha fikiria mondi anasimamia video ya mbosso daaah! Kweli hacha abarikiwe
 
Leo Mbosso katambulishwa Abood FM Morogoro....Redio za Dar kaeni na majungu yenu..

Kazi kuwanyonya wasanii tu.


Waache jeuri huyo diamond alianza kugombana na east Africa radio sasa hivi clouds
 

We nae sasa umezidisha chumvi ,kwahiyo EATV haifanyi vizuri kwaajili ya kutopiga nyimbo za Diamond ? Vipi vipindi vyao haviendelei kama kawaida? Punguza mahaba kwa Diamond. Diamond ndo muda wake ataimba muda wake ukipita wataibuka wengine ila hivyo vituo vha radio na tv ataviacha vikidunda
 
Dunia ya leo radio hazina nafasi kwenye music platform ni kubwa mno sana
 
Ita kama wewe ni mkubwa huwezi kuwa juu ya media ,media hasa tv na radio zina mchango mkubwa katika kumpromote msanii zaidi ya chochote
hahaha sio kwa level kama alofikia diamond. na dunia ya technologia ilipofikia, mchango wa media sawa ila ukishafika levels za juu uko ata wasipopiga nyimbo zako huwezi kwama, Mond anajiuza na anafanbase kubwa kwa sasa viredio na tv haviwezi mzuia kwa sasa; ,,,,socialnetworks rock's more in entertainment skuiz
 
Hao wanaonunua muziki mtandaoni wako wangapi!? Hao wanategemea shows tu. Ila usidharau nguvu ya radio , huko mikoani bongo fleva imepaishwa sana na radio zinazocheza muziki wa hawa vijana.
mmmhhh kwa sasa sidhani. ..yaani mm redio mara ya mwisho kuskiliza hadi nmeshasahau ni lini ila nazipata nymbo mpyaa daily zikitoka tu
 
Usicheze na nguvu ya media wewe,na ndio kinachowapa kiburi kwa kusema kwamba nipo juu so hawawezi kunishuasha,tambua aliyekupandisha ndio huyo huyo atakushusha.
Nguvu ya media ilikua enzi hizo sio sasa hivi. Kwanza hata mara ya mwisho kusikiliza radio sijui lini mambo yote online bro.
Zamani ilikua lazima nyimbo ipigwe kwa radio ili watu waisikie siku hizi ipo hivo?? Tunadownload tu vibanda vya kuweka nyimbo vingi ajabu tusiwatukuze sana hawa wa media wanaojiona wanaweza kumshusha na kumpandisha mtu.
 
Umeona eeh! Wewe umekiri unazipata daily nyimbo mpya, tena kwenye vibanda. Je, fedha unayowalipa wenye vibanda , inawafaidisha wasanii!? Nm
mmmhhh kwa sasa sidhani. ..yaani mm redio mara ya mwisho kuskiliza hadi nmeshasahau ni lini ila nazipata nymbo mpyaa daily zikitoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…