Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
All in all media ina mchango mkubwa sana kupromote msanii,tuliona jinsi clouds walivyombana Jide lakini kwakuwa Jide anajua umuhimu wa media akatumia East Africa Radio kutangaza Kazi zake,haiwezekani Media zote wasipige nyimbo zako obvious utakuwa na shida tu,hauwezi kula bila kuliwa, figisu za OSATA walizowafanyia wasanii wengine nao zinarudi kwao,karma is a real b waache kulalama it's their turn.Ita kama wewe ni mkubwa huwezi kuwa juu ya media ,media hasa tv na radio zina mchango mkubwa katika kumpromote msanii zaidi ya chochote