Je, Media za Bongo zimeshindwa kupambana na Diamond?

Hivi Leo hii, vituo vya radio viamue kucheza nyimbo za nje tu kwa kipindi cha mwaka mzima na hata habari za wasanii wetu wasizitangaze, unadhani radio ndio zitaathirika au wasanii!? Binafsi natumia mitandao lakini radio zinanisaidia sana kufahamu nyimbo mpya kabla ya kuziendea huko mitandaoni.
 
Umeona eeh! Wewe umekiri unazipata daily nyimbo mpya, tena kwenye vibanda. Je, fedha unayowalipa wenye vibanda , inawafaidisha wasanii!? Nm
hayo yakwenyevibanda umesema ww[emoji2] [emoji2] .......atiiii vbandaa ndo wapi huko, nyimbo u nanunua kwene platform tu kwa bei che kama wasafimusic.com,muziki,mikito2, na nyingnenyingi...naponunua msanii hulipwa piaaa ndivo wanavofaidika
 
Yaani Moze Iyobo kataka kugonga vijana wa Shilawadu na gari tena kwa kukusudia kabisa ila kwa sasa ishu imekuwa Ruge anataka kuishusha WCB duh bongo kuna mambo aisee.
 
Tatizo lako ni kuwa na account mbili bila kuwa na memory ya kutosha. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Wewe una account nyingine unajiita the great Emmanuel. Na Mimi nimenukuu post namba 39 ya huyo the great Emmanuel. Huyo great Emmanuel ndio kaandika kuwa vibanda viko tele vya kuingiza nyimbo. Sasa wewe Emmanuel mruma unanijibu nimeku-quote wewe!? Umevurugwa sio bure.
hayo yakwenyevibanda umesema ww[emoji2] [emoji2] .......atiiii vbandaa ndo wapi huko, nyimbo u nanunua kwene platform tu kwa bei che kama wasafimusic.com,muziki,mikito2, na nyingnenyingi...naponunua msanii hulipwa piaaa ndivo wanavofaidika
Mnajifanya mna-support wasanii wakati hamuwachangii hata shilingi, eti wasafi.com!
 
Hapo wcb inaonekana kila mtu ana sharubu.
Yaani Moze Iyobo kataka kugonga vijana wa Shilawadu na gari tena kwa kukusudia kabisa ila kwa sasa ishu imekuwa Ruge anataka kuishusha WCB duh bongo kuna mambo aisee.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huyo sio mimi tafadhali tumekaribiana majina tu usitake nile ban aisee nina acc moja tu hii.
 
hahaaaa natamani sana kuona tv ya mond najua ataajiri bongo muvi nzima
 
Tanzania haijawahi kuwa na kiumbe mwenye nguvu na akili kama diamond, waambie hiyo nguvu ya media waipeleke kupromote aslay tuone kama anaweza kuufikia moto wa simba.
 
ni wazi eatv haina mvuto
 
Diamond ana roho ngumu sana.. kwanza ametoka kwa jasho lako bila meneja.... mbagala imerekodiwa gheto kwa bob juniour studio vifaa magumashi tupu... hao kina aslay wamebebwa na meneja sana mastudio ya kufa mtu ila hawajafikia mtoko wa simba...

diamond amemlipa davido usd 5000 ili akubali kushirikishwa number 1 remix... na enzi hizo hana hata kiwanja gari anatembelea opa... msanii gani ana spirit ya kutoa usd 5000 na kuirisk huku hana hata kiwanja?

Tanzania haijawahi kuwa na kiumbe mwenye nguvu na akili kama diamond, waambie hiyo nguvu ya media waipeleke kupromote aslay tuone kama anaweza kuufikia moto wa simba.
 
Kuna ngoma za diamond kama "ukimwon" ilivuja tu mdandaoni haikuruhusiwa kuchezwa kwenye media ila balaa lake mpaka kuna media zikawa zina force kucheza. Ni kwamba hizi radio zimechelewa kwa sasa. Hivi nikasikilize ngoma ya mond XXL wakati muda huo huo inaachiwa you tube na kwenye site kibao. hiki ni kipindi ambacho wakina dr shika na nabii tito wanatengeneza headlines na kujulikana bila msaada wa radio na TV. Yaani hata mtu mwenye IG account "mqnge kimamnbi" ni maalufu kuliko media personnel. Binafsi yangu nilisha acha mda mtefu kusikiliza redio ili kusikia nyimbo mpya zikitambulisha. Zama zimebadilika.
 
Kama account yako moja, mbona unamjibia Emmanuel mruma!? Wewe una account mbili. Kawadanganye wageni wa jamii forums.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huyo sio mimi tafadhali tumekaribiana majina tu usitake nile ban aisee nina acc moja tu hii.
 
Vifaa magumashi wametumia akina Enrico wa sound crafters na wenzie akina master jay enzi za kina GWN na Sugu.
 
Me nashangaaa sana nchi yetu ya tz media badala ya kutoa support za kutosha kwa daimond platnum wanamdidimiz wangejua ndo wanazidi kumuweka kiwango cha juuu clouds , efm, eatv kadangeni then mrudi tena
 
hayo yakwenyevibanda umesema ww[emoji2] [emoji2] .......atiiii vbandaa ndo wapi huko, nyimbo u nanunua kwene platform tu kwa bei che kama wasafimusic.com,muziki,mikito2, na nyingnenyingi...naponunua msanii hulipwa piaaa ndivo wanavofaidika
Bado unanunua muziki wasafi.com?
 
Mtu mweusi na uchawi ni kama pipa na mfuniko. Ndio maana watu wengi wanakutana na upinzani mkubwa sana baada ya kuanza kufanikiwa.
 
Mtu mweusi na uchawi ni kama pipa na mfuniko. Ndio maana watu wengi wanakutana na upinzani mkubwa sana baada ya kuanza kufanikiwa.
parts umeongea kweli kabisa watu weusi Ni wanafiki Sana wakifanyaga wanapenda wasanii wafanikiwe ila wakishafanikiwa wanaanza chokochoko mbona media za wazungu hazina haya mambo,Media za bongo zinapenda Sana kunyenyekewa
 
Wivu utawamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…