parts umeongea kweli kabisa watu weusi Ni wanafiki Sana wakifanyaga wanapenda wasanii wafanikiwe ila wakishafanikiwa wanaanza chokochoko mbona media za wazungu hazina haya mambo,Media za bongo zinapenda Sana kunyenyekewa
el nino Bora kudis kuliko huku bongo media inakupangia Bei ya kukulipa ukikataa ngoma zako zinapigwa bans ndio maana wasanii wengi wanakuwa masikini.Hii inatofautiana vipi na udicteta