el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Hakuna watu watu wenye fitna na figisu kama kampuni za Muziki za kimataifa , labda kwa kuwa hufuatiliiparts umeongea kweli kabisa watu weusi Ni wanafiki Sana wakifanyaga wanapenda wasanii wafanikiwe ila wakishafanikiwa wanaanza chokochoko mbona media za wazungu hazina haya mambo,Media za bongo zinapenda Sana kunyenyekewa